Paul Timoth
New Member
- Jul 26, 2021
- 1
- 8
Duh unawezaje kumuita hivi mzazi wako?? Sio poa....Tatizo linapoanza ni kuzaliwa na mzee ambae ni mjinga na Zaidi kujifanya ni mjuaji.
Okay sawa....Sisi wanadamu ni waajabu sana
Hapo Evelyn Salt unataka huyu bwana adanganye ili tu atoe maneno ya kinafiki
Huyu bwana katoa proper assessment ya baba yake kwa hali halisi aliyo experience yeye kwa huyu mtu na hawezi danganya
Wewe unataka kumjaza hofu adanganye ili kufurahisha jamii wakati ni uongo na unafiki
Tujifunze kuspeak our minds truthfully bila kudanganya na bila kujali wanaosikiliza watajisikiaje
Na wasikilizaji wajue wanasikiliza true assessment za muongeaji na kukimbilia waambiwe unafiki ili wajisikie vizuri
Muacheni aaongee ukweli bila aibu au kudanganya
Huwezi tumia lugha hyo huenda walikuwa na mitazamo tofaut tu lakin mzazi huwez kumuita mzazi mjingaSisi wanadamu ni waajabu sana
Hapo Evelyn Salt unataka huyu bwana adanganye ili tu atoe maneno ya kinafiki
Huyu bwana katoa proper assessment ya baba yake kwa hali halisi aliyo experience yeye kwa huyu mtu na hawezi danganya
Wewe unataka kumjaza hofu adanganye ili kufurahisha jamii wakati ni uongo na unafiki
Tujifunze kuspeak our minds truthfully bila kudanganya na bila kujali wanaosikiliza watajisikiaje
Na wasikilizaji wajue wanasikiliza true assessment za muongeaji na kukimbilia waambiwe unafiki ili wajisikie vizuri
Muacheni aaongee ukweli bila aibu au kudanganya
Iko Hivi mkuu utadhaa mtoto na mtakuwa na mitazamo tofaut na atakuita mpumbavu piaMkuu
Wanadamu wote sio sawa
Baba wote sio wana akili kama unavyodhani
Infact wababa asilimia kubwa ni wapumbavu kama wapumbavu wengine duniani hapa
Huyu bwana katoa proper assessment aliyo experience na huyo baba yake
According to him,huyo baba didnt do a great job in raising them..na yeye katoa truth
He Did he did what's KUWENI NA ADABU TUMIENI LUGHA SAHIHI KAMA KWEL NYIE AMTAKI UNAFIKI MWAMBIENI SAMIA UKWELI EEH SI AMTAKI UNAFIKIUnataka atumie lugha ya kinafiki?
He didnt do a great job in raising them,unataka kusema aseme he did a great job on his kids wakati si kweli?
𝚜𝚊𝚑𝚒𝚑𝚒Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.
Malezi ya mtoto huonyesha picha ya maisha yake ya baadae hivyo namna ya makuzi ya wazazi walio wengi kwasasa inaonesha madhara yake ambapo vijana wanalalamika hakuna ajira, hili ni kosa kwani wazazi wanatukuza kwa mtiririko au series ya maisha ambayo ndo inapelekea hali hii.
Wazazi walio wengi huwaambia watoto wao wasome, wafaulu vizuri, watafute ajira kwa maana nyingine huwafundisha watoto cha kufikiria na sio namna ya kufikiria ambapo hili ndo jambo la msingi ambalo litsaidia kujikwamua kiuchumi.
Tukufundishwa namna ya kufikiria ndio itakua rahisi kuweza kaweka katika vitendo yanayofundishwa mashuleni kwa mfano wanafunzi wa masomo ya sayansi wanafundishwa kuhusu umeme lakini unakuta shule yao ina matatizo ya upungufu wa umeme Jambo ambalo ni la aibu kubwa.
Wazazi wakiweza kufundisha watoto wao namna ya kufikira, kusikiliza maoni yao na kuonesha kujali katika jambo lolote dogo analofanya mtoto hata kutengeneza gari la bokilsi na kutampa mtoto ari ya kufikiria kitu kingine na kutengeneza kitu kingine tena na hapo sasa maendeleo ya kiuchumi ma teknolojia yatakua nje nje.
Duh unawezaje kumuita hivi mzazi wako?? Sio poa....
Okay, pole sana....Sasa mkuu nimwite vipi wakati ndio uhalisia? Kuzungumza ukweli haimaanishi kuwa sina mapenzi na mzazi.
Hata mimi nimemshangaa.Duh unawezaje kumuita hivi mzazi wako?? Sio poa....
Kuzaliwa na mzee mjinga sio kigezo cha mtu kuwa masikini,hapo ni SAwa na kusema nchi ni masikini sababu ya ukoloni.Hizi factor hazina uhusiano kabisaTatizo linapoanza ni kuzaliwa na mzee ambae ni mjinga na Zaidi kujifanya ni mjuaji.
Sio kweli mkuu.Sisi wanadamu ni waajabu sana
Hapo Evelyn Salt unataka huyu bwana adanganye ili tu atoe maneno ya kinafiki
Huyu bwana katoa proper assessment ya baba yake kwa hali halisi aliyo experience yeye kwa huyu mtu na hawezi danganya
Wewe unataka kumjaza hofu adanganye ili kufurahisha jamii wakati ni uongo na unafiki
Tujifunze kuspeak our minds truthfully bila kudanganya na bila kujali wanaosikiliza watajisikiaje
Na wasikilizaji wajue wanasikiliza true assessment za muongeaji na kukimbilia waambiwe unafiki ili wajisikie vizuri
Muacheni aaongee ukweli bila aibu au kudanganya
Mzazi wako amekuzaa,wewe unaweza kumzaa?angeamua kukupigia punyeto ukaishia chooni tu huko ungepata wapi hiyo nguvu ya kushika hiyo simu yako kuanza kumlaumu hukuUnafeli sana
Nani kakwambia kafeli?
Yeye katoa assessment ya mzazi wake,ni mbaya na sio nzuri hawezi danganya
Sijui mafanikio wewe kwako ni nini hasa?
Hebu weka wazi ni kosa gani ambalo ulifanyiwa kufikia hatua ya kumuita mzazi wako mjinga.Ulichojibu hakina mahusiano na nilichoandika
Kufaulu au kufeli kwa mtoto ni 80% kazi ya mzazi kutoka age 0 - 18......
Bila wazazi ni ngumu mtoto kufanikiwa
Hata hao exceptions waliofanikiwa unaowaona na kuwasemea infact hawajafanikiwa,still wana trauma regardless
Kuondoa trauma ya matatizo ya kutokua na wazazi wawajibikaji na wewe ulipokua mtoto ni kazi ngumu mno
Hao waliofanikiwa,wana hela zimejaa benki ila bongo zao zimejaa trauma za childhood...kuzitoa ndio kitendawili
Wazazi wasiowajibika kwa watoto wao ni mashetani kabisa regardless
Kuzaliwa na mzee mjinga sio kigezo cha mtu kuwa masikini,hapo ni SAwa na kusema nchi ni masikini sababu ya ukoloni.Hizi factor hazina uhusiano kabisa
Kwel kabsa.Tatizo linapoanza ni kuzaliwa na mzee ambae ni mjinga na Zaidi kujifanya ni mjuaji.
Kwa sisi waumini wa dini tunaamini mzazi ni Mungu wa pili.yaani kama umediliki kuuona ujinga wake hakuna kitu ambacho hujashuhudia kutoka kwake bado.Sisi wanadamu ni waajabu sana