Wazazi naomba usiache kupitia hapa

minded tips

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
475
847
Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka anafanya mambo ya ajabu unaumuangali? Kuna wadada ndoa 4 kaachika na nje ya maisha ya kawaida hawezi kuishi na watu zaidi ya mama yake mzazi...kila mtu anagombana nae kwa sababu ya tabia...

NB: Tujitahidi kuwajengea msingi bora watoto wetu ili pia uje kuwasaidia kuishi vizuri na watu.
 
Ukimlea mwanao kwa ukamilifu sana sasa kazi ya ulimwengu itakuwa ni ipi? Maana asiyefunzwa na wazazi hufunzwa na ulimwengu.
 
Back
Top Bottom