Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Jamani mimi bado kijana sijaoa Leo nilikuwa napiga stori na mama wa makamo kazaa wasichana wanne na mvulana mmoja jumla watoto watano uyo wa kiume ana miaka 19.
Mmama wa watu analalamika roho inamuuma anasema tangu amzae mwanae wa kiume hajawahi kumuona kuwa na mishemishe za kutafta tusichana wala hata kuhisi au kuadithiwa anadai anapata mashaka na mwanae amedai aliwahi kujaribu kumwekea mitego ya kula njama na vibinti vimtegetege lakini wapi.
Mimi nimeshangaa Sana kusikia mawazo ya mzazi Kama uyo nikawa najiuliza kumbe wazazi katika harakati za ujana ukipita bila kusumbua wakati mwingine wanapataga mashaka..?