Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

Wanawake wengi tumekuwa wavivu kulea...starehe tumeziendekeza mno,uwepo wa mtoto kando yangu muda wote naona ananibana kwenda marathon Dodoma.
Inaumiza sana kiukweli...sijui,hii dunia tunakoelekea🙌
 
Wanawake wengi tumekuwa wavivu kulea...starehe tumeziendekeza mno,uwepo wa mtoto kando yangu muda wote naona ananibana kwenda marathon Dodoma.
Inaumiza sana kiukweli...sijui,hii dunia tunakoelekea🙌
Inasikitisha sana mama ana muda wa kukaa bar from monday to monday,
Ila hana muda wa kujua wanawe wanaendeleaje hata immotionally....
 
Hili kosa niliwahi kufanya KWA miezi Tisa, Hadi Leo imrmchukua Dogo miaka miwili Bado hajarudia ujasiri na uthubutu aliokuwa nao kabla. Wengi hawafanyi makusudi bali mazingira ndio yanapelekea. Ila ni uamuzi wa kikatiri ambao mtoto atafanyiwa
 
Back
Top Bottom