Wazazi kukataa usioe kabila fulani

Wazazi kukataa usioe kabila fulani

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,856
Kiukweli huwa najiuliza kwanini wazazi huwa wanakataza watoto wao wasioe kabila fulani?

Mfano mimi mama yangu hataki nioe kina Tununu so huwa najitahidi isitokee hata bahati mbaya nikawa nao kwenye mahusiano maana mama hataki hata kuwasikia.

Inaweza kuwa kweli tokana tabia za makabila hayo mzazi anajua ni mbaya ila saa nyingine ni mambo aliyowahi tendewa na watu wa kabila hilo kipindi fulani yanamfanya awe hivyo.

Wewe umekatazwa kuoa wapi?
 
Akina tununu twambombo wananyodo,jeuri sana na dharau km Pie
 
Kiukweli huwa najiuliza kwanini wazazi huwa wanakataza watoto wao wasioe kabila fulani?

Mfano mimi mama yangu hataki nioe kina Tununu so huwa najitahidi isitokee hata bahati mbaya nikawa nao kwenye mahusiano maana mama hataki hata kuwasikia.

Inaweza kuwa kweli tokana tabia za makabila hayo mzazi anajua ni mbaya ila saa nyingine ni mambo aliyowahi tendewa na watu wa kabila hilo kipindi fulani yanamfanya awe hivyo.

Wewe umekatazwa kuoa wapi?
Duh izo perception ni za zaman maana hakuna aliye mkamilifu
 
Kijana badilika wazazi ni binadamu kama wewe sio Mungu, cha msing waheshimu na kuwapenda.

Tunaoa watu na sio kabila, sisi mkoloni/baba yetu alituambia wanangu oeni popote mnapopenda. Yeye wazazi wake(babu na bibi) walimkataza kabisa kuoa kabila lile(kiitikadi sitalijaja) kwa kua wanasifa flani mbaya walizobatizwa na makabila mengne, akaoa kabila walilotaka wazee wake, matokeo yake alichokimbia kule kwa kuambiwa ndo alichokikuta huku kwa kushuhudia na wazee wenyewe wakashuhudia([HASHTAG]#tabia[/HASHTAG] walizoshutumu KABILA lile zikakutwa kwa MTU wasiyemtarajia), hakuomba ushauri tena kwa wazee Akamuacha, akamuoa mzaa chema aliyekataliwa mwanzo, wameishi miaka na miaka kwa amani na furaha.

HUWEZI THIBITISHA TABIA HII KWA KABILA LILE, ILA UNAWEZA THIBITISHA TABIA HII KWA MTU HUYU.

Mwishowe mkoloni akaja kuniambia "dunia inabadilika, siwez kukushika usibadilike nayo, nitaondoka nitakuacha nyuma ya dunia na utanilaumu", kwa hiyo "ninaweza nikakuamuru kitu na ukaona kbsa sipo sahihi kataa ili mradi tu ukatae katika mazingra ya kujua huyu ni baba( kwa heshima) na uwe na uhakika juu ya kile ulichosimamia kama ni sahihi. "ondoa hofu ya kulaaniwa, hakuna mzazi mwenye kumtakia mwanae mema kwa dhati akamwachia mwanae laana, ni bora ujilaumu wewe kwa kutonisikiliza najua utajirekebisha kuliko uje kumlaumu mfu"
 
Vile vijitu vya milimani wacha vioane venyewe.
Usiguse
 
Kuna makabila yana sifa zake ujue, kuna element hazimuachi mtu salama
 
Kuna watu bado wapo karne ya 12 so sad..... Nauliza ukabila upo na unafukuta chini kwa chini siku ukipasuka na Nyerere atafufuka
 
Kiukweli huwa najiuliza kwanini wazazi huwa wanakataza watoto wao wasioe kabila fulani?

Mfano mimi mama yangu hataki nioe kina Tununu so huwa najitahidi isitokee hata bahati mbaya nikawa nao kwenye mahusiano maana mama hataki hata kuwasikia.

Inaweza kuwa kweli tokana tabia za makabila hayo mzazi anajua ni mbaya ila saa nyingine ni mambo aliyowahi tendewa na watu wa kabila hilo kipindi fulani yanamfanya awe hivyo.

Wewe umekatazwa kuoa wapi?
ww unataka kabila au unataka mke?
 
Back
Top Bottom