Wazazi kugombana mbele ya watoto

Wazazi kugombana mbele ya watoto

Mgunyamweusi

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
19
Reaction score
1
Katika hali ya kawaida ya kuhabarishana na kufurahishana rafiki yangu mmoja ametumia picha hiii. Na nikaona si vibaya nikawashirikisha nanyi ndugu zangu ili tupate cha kujifunza.

Malezi.jpg

Imekuwa ni kawaida kwa wazazi wengi inapotokea kutokuelewana, basi hugombana na kutoleana maneno mazito bila kujali uwepo wa watoto wao.

Jambo ambalo huwajenga watoto kuwa na hisia mbaya hisia ambazo haziwezi kufutika akilini mwao kwa haraka. Pia hisia hizo huenda zikapelekea watoto hao kuwa na tabia zisizokubalika katika jamii hapo mbeleni.

Kutokana na Picha hii nimejifunza kuwa, Ndugu zangu, inapotokea kutokuelewana baina yetu kama wazazi au wapenzi basi mambo haya tuyafanye katika mazingira ambayo hayawezi kuwaaathiri watoto wetu.

Wana jukwaa wenzangu mna mtazamo gani katika hili?

Nawasilisha
 
Kwa kweli mfano mimi iliniadhiri kisaikolojia kwa sababu ulikua ugomvi mkubwa sana tena sio mara moja ikanipelekea nisipende wanawake ilinichukua mda mrefu mchumba.....hii inanisumbua sana kwa sababu nimekua pessimist kila kitu ni kibaya kwang hii ninayo mpaka leo.....but i hope sooner ntarcover
 
Pole sana Mkuu. But Naamini maadamu umelitambua one day litapotea. Lakini hili bado ni tatizo kubwa katika jamiii zetu.
 
hahahaaaa hio picha nouma hahahaaaaaa mtoto anapata wakati mgumu wa kufikiria kama yeye ni binadamu au kajibwa
 
Hii ni mbaya sana. Huaribu saikolojia ya mtoto na hata kumpelekea kujenga chuki na dharau kwa wazazi wake. Heshima inapungua..
 
you remind of somethin very painfully, when i was 12
 
Mimi nina watoto wa wili, kuna kitu tulitofautiana na mume eti kwa hasira kahama chumba, yaani aibu hata sijui watoto wanatuelewaje
 
Mimi nina watoto wa wili, kuna kitu tulitofautiana na mume eti kwa hasira kahama chumba, yaani aibu hata sijui watoto wanatuelewaje

aibu zaidi ni wewe kulisema hilo hapa!wafukunyuku tushahisi ulimegwa nje!
 
shtuka inawezekana anakimchepuko chake kona so siku wakiwa horny analianzisha kwako mkinuniana aneenda kutia mbegu kwenye shimo lingine!

Amehama chumba sio Nyumba. Mtu akitoka si Unajua kama ametoka?
 
Back
Top Bottom