Wazazi kazi mnayo

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,587
db153a15e0dcbdfddfa78f63138a1fa2.jpg

Kwa usawa huu sijui mama kidawa atamfanyaje uyu kijana
 
Ndio maana tunatakiwa tuwaheshimu sana wazazi wametuvumilia mengi ukiacha adha ya kutolala mpaka tulale khasa mama ukilia hivi anajua una njaa ukilia vile anahisi unaumwa sasa kuna mi baradhuli inawajibu ungechelewa kunizaa mimi ningekuzaa weye.
 
Mama na wewe usitishe eti kisa ulinizaa hata mimi ningewahi kuzaliwa ningekuzaa Duh! Hii kauli ni dada mmoja akimwambia mama yake mzazi nilichoka kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom