Hii ndivyo ilivyo, watoto wote ama wawe wamehamia Ulaya au Marekani au wamezaliwa huko.
Mara waingiapo katika mfumo hasa Uingereza basi wao hujua kila kitu kuhusu uhuru na haki zao na hukua nazo.
Hawa waacheni tu ndio hali halisi hio ya Ughaibuni, lakini inategemea na mzazi unafuatiliaje hali hii.
Wenzetu wahindi mbona wanaweza kuwalea watoto wao kimaadili na leo watoto wao wengi ni madaktari, wanasheria wafanza biashara, wahasibu na fani mbalimbali je vipi watoto wetu waafrika?