Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,598
- 2,905
- Thread starter
- #21
Ingelikuwa kama unavyowlezea basi nina uhakika hicho kikundi kisingeli zungumza Kizaramo,bila shaka hiyo sehemu ilikuwa na Wazaramo wengi na wengine walikuwa wapita njia tu, kama huyo Mmasai..Ni kweli mkuu chabuso kwamba kuzungumza kilugha si ukabila. Ila tunazungumzia pale unapoongea kilugha ni mahali gani. Chukulia mfano tuna kikundi chetu ambacho kuna labda wamasai, wazaramo, wagogo n.k. Halafu tukakutana kujadili mambo yahusuyo kikundi chetu, halafu mimi nasimama hapo hapo kwenye kikao kuchangia hoja halafu naanza kuongea kimasai.
Hivi ninyi wengine mtanielewaje?
Kw hyo kwa vile ni vijijini waongee kizaramo hadi mashuleni na kwenye mikutano? Akija hata kiongozi waongee nae kizaramo eti kwa vile tu ni uzaramoni? Soma heading ya thread vizuri. Sijasema marufuku kuongea Kilugha, NO! Ila marufuku kuongea kikugha kwenye mambo ya Kijamii /Maendeleo.Mr.Junior said:Uzaramoni vijijini unataka waongee Kiswahili
Sisi huku usukumani kabila zingine twaita, nkabilaUkitaka kujua ukabila nenda usukumani utaleta mrejesho.
Mmeivamia Daresalam nchi ya Wazaramo, mpaka imekuwa vigumu kusikia kizaramo Dar,..Kw hyo kwa vile ni vijijini waongee kizaramo hadi mashuleni na kwenye mikutano? Akija hata kiongozi waongee nae kizaramo eti kwa vile tu ni uzaramoni? Soma heading ya thread vizuri. Sijasema marufuku kuongea Kilugha, NO! Ila marufuku kuongea kikugha kwenye mambo ya Kijamii /Maendeleo.
Halafu nani kakwambia kuna wazaramo tu huku?
Wameshindwa kuongea kilugha dar....naona wamehamishia majeshi pwani..
Ulitaka waongee lugha gani wakati asilimia kubwa ya wanakiji ni Wazaramo?..
Una bahati wamekuachia uishi Daresalam!!
Kuna mwaka nilitembelea Ngorongoro chini kule nikakutana na kikundi cha Jamii ya kimasai, nilijipendekeza kuzungumza nao kiswahili hamna hata mmoja aliejua kuzungumza kiswahili, Je Masai nao walikuwa WAKABILA??
😀 😀 😀
Kiukwel mkuu huku Pwani vijijini Wazaramo wana ukabila sana.
Haswaa mkuu.
Tukemee kwa nguvu zote hasa haya mambo ya ukabila kwenye masuala ya maendeleo.
Ukabila upo kwa wahaya, wasukuma na wanyakyusa.
KolongazeWabaha
KingY said:Jamii ya kivivu isipokuwa kwenye ngoma na kungonoka tu.