Wazanzibari wasio wana CCM wasema CUF ni CCM -B | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari wasio wana CCM wasema CUF ni CCM -B

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Apr 6, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Vyama vya upinzania upande wa Zanzibar vinampango wa kuishawishi serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa maandamano ili nafasi za rais za kuteuwa wawakilishi kumi wateuliwe watu wengine nje ya CUF na CCM ili kuwezesha kuwepo na upinzani kwenye baraza la uwakilishi kwa kuwa sasa CUF imekuwa kama CCM-B inatekeleza ilani ya CCM.

  Source: Kipindi cha Nipashe leo asubuhi
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hii sababu ya kukosa kujua mifumo ya uongozi na Serikali katika Elimu ya sheria.

  lakini naomba ufahamu kuwa Zanzibar wana mfumo wa Serikali ya umoja wa kitaifa na sio muungano wa vyama.
   
Loading...