Wazanzibari wameamka?

Wazanzibari wameamka?

Walio ungana ni wazanzibari

Nani aliruhusu warundi, wanyarwanda na watanganyika kupeleka dhahama zanzibar?

Unapojibu zingatia haya kwa kina.

1. Chama tawala zanzibar ni ccm..... (walioungana ni ccm na Act = wazanzibar)

2. Aliyekuwa waziri wa ulinzi yaani mkuu wa majeshi ndiye rais hivi sasa zanzibar .... ni ccm na mzanzibar

3. Aliyekuwa rais wa zanzibar ni ccm na mzanzibar

Act wazanzibar wa visiwani

Ccm ni wazanzibar wa visiwani

Alieiba kura ni mzanzibar ccm

Alieibiwa kura ni mzanzibar ACT

Walioungana ccm na Act
 
WAZANZIBARI WAMEAMKA?

Toka ilipoundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ghafla Zanzibar imebadilika na kuwatia matumaini makubwa Wazanzibari.

Yanayoonekana katika mitandao ya kijamii katika maandishi, picha na sauti yalikuwa tabu hata kufikirika kwa mbali majuma machache yaliyopita.

Waliokuwa wakitazamana kama maadui kiasi cha kufikia kusababisha watu kuteswa na kuuliwa sasa wamekuwa ndugu wanaonekana pamoja wakiwa na tabasamu huku wakipeana mikono.

Hii ni faraja kubwa kwa Wazanzibari wengi ndani na nje ya mipaka ya Zanzibar.

Dr. Martin Luther King katika hotuba yake ya mwisho kabla hajauawa alisema maneno haya, ''I've been to the Moutaintop and I've seen the promises land.''

Martin Luther King anasema amefika juu ya kilima na ameiona nchi ya ahadi akiwa na maana kuwa kwa yale aliyokuwa anashuhudia juu kilimani, basi huko waendako kutakuwa na nema.

Jana katika kusherehekea mapinduzi bendera za ACT Wazalendo na bendera za CCM zimeonekana katika viwanja zikipepea bega kwa bega.

Lakini binafsi lililokamata fikra yangu zaidi ni kuona video ya wanafunzi wa Muslim University of Morogoro (MUM) Chuo Cha Kiislam Morogoro wamekusanyika katika ukumbi wakisheherekea mapinduzi kwa kuimba nyimbo maarufu inayoimbwa sana katika sherehe za CCM Zanzibar.

Nyimbo hii ina umri sawa na mapinduzi yenyewe.
Haya yote yanaashiria kitu gani?

Haya yanaashiria kuwa Wazanzibari wameamua kusonga mbele katika udugu wao kwa maslahi ya nchi yao.
Ikiwa Wazanzibari wameamua kuwa kitu kimoja hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa Wazanzibari wameondoa uhasama baina yao.
Ikiwa uhasama umeondoka Wazanzibari wategemee nini?

Kubwa ni kuwa utakapofika In Shaa Allah uchaguzi mwaka wa 2025 halitaingia jeshi Zanzibar kutoka Tanganyika kama ilivyokuwa kawaida miaka yote wakati wa uchaguzi.

Ulazima huu hautakuwapo.

Hili nalo nini maana yake?
Hili likipatikana maana yake ni kuwa Zanzibar itakuwa imekomboka na Wazanzibari watafanya uchaguzi huru na wa haki.

Vikosi vya kukamata Wazanzibari kuwapiga na kuwatesa katika kila uchaguzi itakuwa ni ndoto mbaya ya jinamizi.
Hili likipatikana kura itapoteza thamani ya damu ya Mzanzibari.

Katika utulivu na amani visiwani nini hali ya baadae ya Ubao wa Kisonge na waandishi wake?
Labda tulitengeneze vyema zaidi swali hili.

Hii hali ya utengamano inayoshuhudiwa hivi sasa Zanzibar imewafurahisha Wazanzibari wote?
WanaKisonge na Mazombi wamefurahi?

Wapo ambao walikuwa wananufaika sana na uadui baina ya Wazanzibari na wamenufaika kwa miaka mingi kiasi jambo hili likawa kwao wao ni ajira ya kudumu.

Wakilala wanawaza Ubao Mweusi wa Kisonge wakiamka wanawaza kazi na shughuli za Uzombi.

Hawa ghafla wamejikuta hawana tena ajira iliyokuwa ikiwaingizia kipato.
Hawa ghafla wamejikuta hawa kazi ya kufanya.

Huenda, haijulikani, huenda hawa waandishi wa Ubao wa Kisonge wakatungua ubao wao na kugawa chaki zao kwa waalimu wa madrasa.
Huenda pia na Mazombi wakatupa nondo na marungu yao kwani hakuna wa kupiga wala kutesa.

Dr. Martin Luther King alisema amefika juu ya kilima na kaiona nchi waliyoahidiwa na Mungu.
Maalim Seif wanahistoria watakapokuja kumuandika watakuwa na mengi sana ya kumuelezea.

Maalim wasaidie wanahistoria kwa wewe mwenyewe kunyanyua kalamu na kuandika kumbukumbu zako kwani jina lako limetawala Zanzibar katika kipindi kirefu na muhimu sana cha historia yake.

Walter Cronkite anasifika kuwa yeye ndiye mtangazaji wa televisheni pekee ambae amepata kuwahoji marais wa Marekani wengi kupita mtangazaji yeyote wa wakati wake.

Maalim umesimama kulikabili sanduku la kura na kila rais aliyetawala Zanzibar.
Hii ni rekodi tabu kuvunjwa.

Ulimwengu ungependa kuisikia historia hii kutoka kinywani kwako.

=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']0:00 / 0:40

In a unified way wameamka. Sio kwa njia zile za kuendelea ubaguzi. Zanzibar watulie wajenge nchi yao. Iwe nzuri na Yenye amani. Hakuna kitu chema kama ndugu kukaa pamoja kwa amani
 
Nani aliruhusu warundi, wanyarwanda na watanganyika kupeleka dhahama zanzibar?

Unapojibu zingatia haya kwa kina.

1. Chama tawala zanzibar ni ccm..... (walioungana ni ccm na Act = wazanzibar)

2. Aliyekuwa waziri wa ulinzi yaani mkuu wa majeshi ndiye rais hivi sasa zanzibar .... ni ccm na mzanzibar

3. Aliyekuwa rais wa zanzibar ni ccm na mzanzibar

Act wazanzibar wa visiwani

Ccm ni wazanzibar wa visiwani

Alieiba kura ni mzanzibar ccm

Alieibiwa kura ni mzanzibar ACT

Walioungana ccm na Act

Yote hayo ulio uliza hata hao wazanzibari wakatae asije Amir Jeshi mkuu ni Magufuli, hakuna wa kupinga. Dismissed
 
Zanzibar iliyotembelewa na Plotemy wakati Yesu Kristu anazaliwa leo inaongozwa na watu wawili mmoja toka Chatto na mwingine toka Mkuranga
 
Yote hayo ulio uliza hata hao wazanzibari wakatae asije Amir Jeshi mkuu ni Magufuli, hakuna wa kupinga. Dismissed

2015....... Magufuli ?

2010.......Magufuli?

2005....... Magufuli?

Ujuwe muda wote maalimu Seif anashinda kwa mujibu wa kauli zake ila anadhulmiwa.

VIP nikweli magufuli? Au waunguja?
 
"Nyimbo hii ina umri ......"!!!! usahihi ni " Wimbo huu una umri...." .Hata nyie Wazee mnaendeshwa na swaga za Bongofleva! Bure kabisa!
Halafu wewe Mzee Mohamed Said ni mbaguzi na mdini sana!

Kauli ya kwamba Jeshi kutoka Tanganyika kuingia Zanzibar! Ni kauli ya kijinga na kibaguzi sana kutoka kwa mtu mpuuzi!

Suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano,sasa unaletaje kauli za kijinga kama hizi?

Kwani huwezi kuelezea mafanikio ya Zanzibar bila kuchochea ubaguzi ndani ya Muungano.

Utaendelea kusikilizwa na wapuuuzi wenzako!
Ujumbe wa hivi, mbona hoja yako ilikuwa na nguvu bila ya kutumia lugha kali kwa mtu unaemuheshim, au kwa vile umeficha anuani yako
 
2015....... magufuli ?

2010.......magufuli?

2005....... magufuli?

Ujuwe muda wote maalimu Seif anashinda kwa mujibu wa kauli zake ila anadhulmiwa.

VIP nikweli magufuli? Au waunguja?

Marais wa Jamuhuri ya muungano ndio responsible.
 
Ni kweli kabisa, na hakika inapendeza...
Ila WaZanzibari wakiungana italeta shida kwa Tanzania...

Cc: mahondaw
 
WAZANZIBARI WAMEAMKA?

Toka ilipoundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ghafla Zanzibar imebadilika na kuwatia matumaini makubwa Wazanzibari.

Yanayoonekana katika mitandao ya kijamii katika maandishi, picha na sauti yalikuwa tabu hata kufikirika kwa mbali majuma machache yaliyopita.

Waliokuwa wakitazamana kama maadui kiasi cha kufikia kusababisha watu kuteswa na kuuliwa sasa wamekuwa ndugu wanaonekana pamoja wakiwa na tabasamu huku wakipeana mikono.

Hii ni faraja kubwa kwa Wazanzibari wengi ndani na nje ya mipaka ya Zanzibar.

Dr. Martin Luther King katika hotuba yake ya mwisho kabla hajauawa alisema maneno haya, ''I've been to the Moutaintop and I've seen the promises land.''

Martin Luther King anasema amefika juu ya kilima na ameiona nchi ya ahadi akiwa na maana kuwa kwa yale aliyokuwa anashuhudia juu kilimani, basi huko waendako kutakuwa na nema.

Jana katika kusherehekea mapinduzi bendera za ACT Wazalendo na bendera za CCM zimeonekana katika viwanja zikipepea bega kwa bega.

Lakini binafsi lililokamata fikra yangu zaidi ni kuona video ya wanafunzi wa Muslim University of Morogoro (MUM) Chuo Cha Kiislam Morogoro wamekusanyika katika ukumbi wakisheherekea mapinduzi kwa kuimba nyimbo maarufu inayoimbwa sana katika sherehe za CCM Zanzibar.

Nyimbo hii ina umri sawa na mapinduzi yenyewe.
Haya yote yanaashiria kitu gani?

Haya yanaashiria kuwa Wazanzibari wameamua kusonga mbele katika udugu wao kwa maslahi ya nchi yao.
Ikiwa Wazanzibari wameamua kuwa kitu kimoja hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa Wazanzibari wameondoa uhasama baina yao.
Ikiwa uhasama umeondoka Wazanzibari wategemee nini?

Kubwa ni kuwa utakapofika In Shaa Allah uchaguzi mwaka wa 2025 halitaingia jeshi Zanzibar kutoka Tanganyika kama ilivyokuwa kawaida miaka yote wakati wa uchaguzi.

Ulazima huu hautakuwapo.

Hili nalo nini maana yake?
Hili likipatikana maana yake ni kuwa Zanzibar itakuwa imekomboka na Wazanzibari watafanya uchaguzi huru na wa haki.

Vikosi vya kukamata Wazanzibari kuwapiga na kuwatesa katika kila uchaguzi itakuwa ni ndoto mbaya ya jinamizi.
Hili likipatikana kura itapoteza thamani ya damu ya Mzanzibari.

Katika utulivu na amani visiwani nini hali ya baadae ya Ubao wa Kisonge na waandishi wake?
Labda tulitengeneze vyema zaidi swali hili.

Hii hali ya utengamano inayoshuhudiwa hivi sasa Zanzibar imewafurahisha Wazanzibari wote?
WanaKisonge na Mazombi wamefurahi?

Wapo ambao walikuwa wananufaika sana na uadui baina ya Wazanzibari na wamenufaika kwa miaka mingi kiasi jambo hili likawa kwao wao ni ajira ya kudumu.

Wakilala wanawaza Ubao Mweusi wa Kisonge wakiamka wanawaza kazi na shughuli za Uzombi.

Hawa ghafla wamejikuta hawana tena ajira iliyokuwa ikiwaingizia kipato.
Hawa ghafla wamejikuta hawa kazi ya kufanya.

Huenda, haijulikani, huenda hawa waandishi wa Ubao wa Kisonge wakatungua ubao wao na kugawa chaki zao kwa waalimu wa madrasa.
Huenda pia na Mazombi wakatupa nondo na marungu yao kwani hakuna wa kupiga wala kutesa.

Dr. Martin Luther King alisema amefika juu ya kilima na kaiona nchi waliyoahidiwa na Mungu.
Maalim Seif wanahistoria watakapokuja kumuandika watakuwa na mengi sana ya kumuelezea.

Maalim wasaidie wanahistoria kwa wewe mwenyewe kunyanyua kalamu na kuandika kumbukumbu zako kwani jina lako limetawala Zanzibar katika kipindi kirefu na muhimu sana cha historia yake.

Walter Cronkite anasifika kuwa yeye ndiye mtangazaji wa televisheni pekee ambae amepata kuwahoji marais wa Marekani wengi kupita mtangazaji yeyote wa wakati wake.

Maalim umesimama kulikabili sanduku la kura na kila rais aliyetawala Zanzibar.
Hii ni rekodi tabu kuvunjwa.

Ulimwengu ungependa kuisikia historia hii kutoka kinywani kwako.

=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']0:00 / 0:40

Waliozewea kuishi kwa uwongo👇
 
"Nyimbo hii ina umri ......"!!!! usahihi ni " Wimbo huu una umri...." .Hata nyie Wazee mnaendeshwa na swaga za Bongofleva! Bure kabisa!
Halafu wewe Mzee Mohamed Said ni mbaguzi na mdini sana!

Kauli ya kwamba Jeshi kutoka Tanganyika kuingia Zanzibar! Ni kauli ya kijinga na kibaguzi sana kutoka kwa mtu mpuuzi!

Suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano,sasa unaletaje kauli za kijinga kama hizi?

Kwani huwezi kuelezea mafanikio ya Zanzibar bila kuchochea ubaguzi ndani ya Muungano.

Utaendelea kusikilizwa na wapuuuzi wenzako!
Ulishawahi kuona huyu mtu yuko neutral ktk mambo ya dini mkuu?
 
Mzee wetu unaamini tukio linaloitwa Mapinduzi kwenye makala yako linapaswa kuitwa sherehe au kumbukumbu.

Je tukio hilo ni la kishujaa au ni tukio la udhalimu.... Na je linapaswa ulitumie kama mfano wa kuonyesha waznz wameondoa tofauti zao.

Je waznz wameondoa tofauti au ni Maalim ndiye aliyeondoa tofauti alizokuwa yy na CCM.

Bila shaka kesho Maalim akijiunga na ccm. Utakuja na mapambio zaidi ya haya...
 
Hawa jamaa wanatawaliwa na Tanganyika bila kujijua...it will take time hadi washtuke!!
 
WAZANZIBARI WAMEAMKA?

Toka ilipoundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ghafla Zanzibar imebadilika na kuwatia matumaini makubwa Wazanzibari.

Yanayoonekana katika mitandao ya kijamii katika maandishi, picha na sauti yalikuwa tabu hata kufikirika kwa mbali majuma machache yaliyopita.

Waliokuwa wakitazamana kama maadui kiasi cha kufikia kusababisha watu kuteswa na kuuliwa sasa wamekuwa ndugu wanaonekana pamoja wakiwa na tabasamu huku wakipeana mikono.

Hii ni faraja kubwa kwa Wazanzibari wengi ndani na nje ya mipaka ya Zanzibar.

Dr. Martin Luther King katika hotuba yake ya mwisho kabla hajauawa alisema maneno haya, ''I've been to the Moutaintop and I've seen the promises land.''

Martin Luther King anasema amefika juu ya kilima na ameiona nchi ya ahadi akiwa na maana kuwa kwa yale aliyokuwa anashuhudia juu kilimani, basi huko waendako kutakuwa na nema.

Jana katika kusherehekea mapinduzi bendera za ACT Wazalendo na bendera za CCM zimeonekana katika viwanja zikipepea bega kwa bega.

Lakini binafsi lililokamata fikra yangu zaidi ni kuona video ya wanafunzi wa Muslim University of Morogoro (MUM) Chuo Cha Kiislam Morogoro wamekusanyika katika ukumbi wakisheherekea mapinduzi kwa kuimba nyimbo maarufu inayoimbwa sana katika sherehe za CCM Zanzibar.

Nyimbo hii ina umri sawa na mapinduzi yenyewe.
Haya yote yanaashiria kitu gani?

Haya yanaashiria kuwa Wazanzibari wameamua kusonga mbele katika udugu wao kwa maslahi ya nchi yao.
Ikiwa Wazanzibari wameamua kuwa kitu kimoja hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa Wazanzibari wameondoa uhasama baina yao.
Ikiwa uhasama umeondoka Wazanzibari wategemee nini?

Kubwa ni kuwa utakapofika In Shaa Allah uchaguzi mwaka wa 2025 halitaingia jeshi Zanzibar kutoka Tanganyika kama ilivyokuwa kawaida miaka yote wakati wa uchaguzi.

Ulazima huu hautakuwapo.

Hili nalo nini maana yake?
Hili likipatikana maana yake ni kuwa Zanzibar itakuwa imekomboka na Wazanzibari watafanya uchaguzi huru na wa haki.

Vikosi vya kukamata Wazanzibari kuwapiga na kuwatesa katika kila uchaguzi itakuwa ni ndoto mbaya ya jinamizi.
Hili likipatikana kura itapoteza thamani ya damu ya Mzanzibari.

Katika utulivu na amani visiwani nini hali ya baadae ya Ubao wa Kisonge na waandishi wake?
Labda tulitengeneze vyema zaidi swali hili.

Hii hali ya utengamano inayoshuhudiwa hivi sasa Zanzibar imewafurahisha Wazanzibari wote?
WanaKisonge na Mazombi wamefurahi?

Wapo ambao walikuwa wananufaika sana na uadui baina ya Wazanzibari na wamenufaika kwa miaka mingi kiasi jambo hili likawa kwao wao ni ajira ya kudumu.

Wakilala wanawaza Ubao Mweusi wa Kisonge wakiamka wanawaza kazi na shughuli za Uzombi.

Hawa ghafla wamejikuta hawana tena ajira iliyokuwa ikiwaingizia kipato.
Hawa ghafla wamejikuta hawa kazi ya kufanya.

Huenda, haijulikani, huenda hawa waandishi wa Ubao wa Kisonge wakatungua ubao wao na kugawa chaki zao kwa waalimu wa madrasa.
Huenda pia na Mazombi wakatupa nondo na marungu yao kwani hakuna wa kupiga wala kutesa.

Dr. Martin Luther King alisema amefika juu ya kilima na kaiona nchi waliyoahidiwa na Mungu.
Maalim Seif wanahistoria watakapokuja kumuandika watakuwa na mengi sana ya kumuelezea.

Maalim wasaidie wanahistoria kwa wewe mwenyewe kunyanyua kalamu na kuandika kumbukumbu zako kwani jina lako limetawala Zanzibar katika kipindi kirefu na muhimu sana cha historia yake.

Walter Cronkite anasifika kuwa yeye ndiye mtangazaji wa televisheni pekee ambae amepata kuwahoji marais wa Marekani wengi kupita mtangazaji yeyote wa wakati wake.

Maalim umesimama kulikabili sanduku la kura na kila rais aliyetawala Zanzibar.
Hii ni rekodi tabu kuvunjwa.

Ulimwengu ungependa kuisikia historia hii kutoka kinywani kwako.

=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']=AZW0iGr_6_KW1300ZjYuurjs0la-NTNJf7CP6Kchqm5pnC7EeQNUucVzcfK-slSWu1uX3U1f_jf1am8v5y-eb5uZnZT2dGi1CD_dpHQAPX541KKe9O19thDHDJ8ppWvshlU&tn=*bH-R']0:00 / 0:40

Waamke wakati wanatawaliwa na Mtanganyika?
 
Hawa jamaa wanatawaliwa na Tanganyika bila kujijua...it will take time hadi washtuke!!
Wazanzibar wanajuwa na Maalim Seif anajuwa vizuri ndio maana Tanganyika imehakikisha Maalim Seif hawi Rais wa Zanzibar.

Aliyehasisi kupinduwa ushindi wa Maalim Seif Zanzibar ni Nyerere.
 
Sikuwai kubaliana na Uchaguzi 2020, na sitoukubali mpaka naingia kaburini na kuwapa simlizi wajukuu wangu, ila mbele za mungu wakati wa mchakato wa ccm kumpata mgombea Zanzibar Kati ya WOTE waliotia nia niliandika hum jf kwamba Mwinyi anasifa KULIKO WOTE ,that was my comment
 
Wazanzibari hawa wa matumbi na sukuma ndio waamke?
 
Back
Top Bottom