Wazanzibari nmewakubali

Wazanzibari nmewakubali

Kuna Waislam kibao wana maskendo tu, mfano yule wa mama wa Takukuru aliyepelekwa mahakamani juzi...
Hizi ligi za Udini mkizianzisha nyie ndio mtakua losers mngekaa kama wengine walivyo tu, kusapoti mtu kutokana na character yake wala sio Dini
Kuna WAISLAMU NA WAHIZLAMU Mkuu ukikuta katenda kinyume huyo Ni muhizlamu
 
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.

Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi

Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu

from a Christian Member

Mwinyi ndie alieuza Loliondo na wanyama wote waliokuwa zoo ya Ikulu. Mwinyi ndie alianza kuvuruga mfumo rasmi wa utawala (hadi kufikia watu kupima kila uteuzi kwa jicho la udini). Kikwete? The little said is better. Inapofikia baadhi ya watu honestly wakaona Magufuli ni kiongozi basi ujiulize how bad Kikwete must have been.
 
Mkuu upo sahihi kabisa, asili yao ni kijiji cha mkomazi, kata ya mkomazi tarafa ya mombo wilaya ya korogwe ( i stand to be corrected) japo wamejenga buiko na ndugu zake wapo pale
Prof.Assad sio mzazibar ni mtu wa Korogwe-Tanga mpaka sasa ana nduguze wanaishi Buiko-Korogwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi waislamu wanazingatia professional ethics ni mfano wa kuigwa. Muslim professions have been side lined for far to long..Muslims must vote as a block.
Wow!!
So Pro. Lipumba is a Christian?? How wrong I have been. Mlete hoja, kaa chini uwaze tena. Kama unataka kutuhadaa basi hizo enzi ulizotaja ni enzi ambazo nchi iligeuzwa choo cha kuchambia.
Hao uliowapuuza ndio waliuinua uchumi
 
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.

Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi

Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu

from a Christian Member
Acha upimbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukana unavyotaka lakini usilete uislam wala ukristu kwenye hili Jukwaa.
Dini ni private contract kati ya mtu na muumba wake
 
Huyu Mleta Mada huenda ametumwa aje kutuvuruga.
 
Back
Top Bottom