Wazanzibari mnajaa sana bara, kulikoni?


si ni kamkoa! Ukiweka barabara za lami za Magufuli zinazagaa hadi chooni
 


Wanaume wote wa Bara tukaoe wote zanzibar na hapo ndo muungano utakuwepo na si kuchanganya udongo
 

Wacha uongo Mkuu
 
Wanaume wote wa Bara tukaoe wote zanzibar na hapo ndo muungano utakuwepo na si kuchanganya udongo


Ingawa hamtakiwi na wanawake wa Zenji, labda wanawake wenu kuwanga'ngania wanume wa Wazenji
 
Dar kuzuri sana, hawa jamaa wanashinda dar na kurudi Zenji kulala...infact benefit kubwa ipo kwao.
 
Hio inaonesha wanavochapa kazi nyie lalamikeni tuuu!!!! Hata ije passport tutakata hio passport na tutakuja haijalishi
Sawa mtakuja na kukata hiyo passport, lakini hamtaitwa watanzania tena ila wawekezaji wa nje. Tutakamua maziwa na asali kama tukamuavyo sasa kutoka kwa wawekezaji wenzenu kutoka USA au China.

Mnaipata hiyo? Endeleeni kula na kipofu kwa kumgusagusa mkono wake kwenye sahani ukidhani ataendelea kuwa mpole. Wanaopiga kelele wameyaweka mambo yao sawa kwao visiwani na hapa mipango yao sio kama ya zamani.

Nitafurahi kuwakaribisha airport kama watalii na kuona mnachunwa mifuko yenu tena kwa fedha za kigeni na sio haya magulubaja tunayotumia.
 

zenji kuna chakula? Zenji ni njaa kali
 
mkuu hujamalizia kwa kuelezea kwenye hizo nyumba zenye umeme, TV, bati hao watu wanalala wangapi wangapi, kila mtu na chumba chake au,

unakoelekea sio kabisa!
 

hayo maneno waambie wasiopajua Zanzibar nimeizunguka Unguja na Pemba hasa maeneo ya vijiji hapana tofauti na maeneo Kilwa Kivinje,Mingoyo Lindi na Msata,nyumba za makuti kwa udongo zipo kibao
 
Mafisadi wanaopinga Muungano ndio wanafaidi Zanzibar huku wazanzibar wa kawaida taabani kwa kweli, Tanzania nchi 1 Serikali 1 tudokezane zaidi
 
Wazenj watu wa ajabu sana mnasasjili hadi meli zilizopigwa marufuku tangu 2009 halafu ajali inatokea mnasema mipango ya Mungu, jamani hata hilo kwa akili ndogo tu mmeshindwa kulitambua au sababu ya Muungano? tafakari chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…