muungano sio lazima,wazanzibari wanaweza kusafiri kuja huku kwetu bara bila hata ya kuwa na muungano.Nina marafiki zangu wa ki Zanzibar wengi sana hata maeneo ninayoishi wako wengi sana. Kuna wengine walienda kwao muda mrefu leo nimewaona wengi kweli wanawasili! Nikajiuliza si hawataki muungano huku wanataka nini tena?.
Wee chiziii wacha uongo wako huo au ndio propaganda zenu ili muoneshe kuwa Wazanzibari tunaipenda Tanganyika, kwa hili hujafanikiwa tafuta jengine la kuzua usitupotoshe wenzako.
Ndo hayoo mara kanisa limechomwa, cjui watanganyika watakiwa wahame Zenji, ilimradi kujitukuza, cheki magazeti ya leo mmeweka mpaka picha za kughushi kwenye Tz Daima khaaa!!!!