YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Taarifa za vyombo vya habari Zanzibar, leo vimetangaza kuwa Wazanzibari wataanzisha baraza lao la habari na mchakato umeshaanza
Hili linalojiita baraza la habari Tanzania libadilishe Jina kama wenzao wa chama cha wanasheria cha Tanganyika.Na Lijue kuwa mwisho wa kazi zao ni bara tu na zile kelele za kuongelea mambo ya Zanzibar waache hayo watayaongelea wenyewe wazanzibari kwenye nchi yao kupitia baraza lao.