Wazanzibar! Iko wapi MV Mapinduzi?

Wazanzibar! Iko wapi MV Mapinduzi?

Joined
Jul 19, 2013
Posts
38
Reaction score
21
Mara nyingi nimekuwa nikisikia tetesi kuhusu serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuzurumiwa meli MV Mapinduzi, na mimi sina uhakika nalo naomba Wazanzibar mtujuze Watanganyika meli hii iko wapi?
 
MV Mapinduzi iliuzwa kwa kampuni binafsi. Ilizama katika bahari ya Syshels ikiwa njiani kuelekea Yemen kwa matengenezo.
 
Back
Top Bottom