Leo maeneo yote ya mjini polisi wameweka mageti ya chuma kwenye kona za kukatisha kwenye mitaa na barabara, bunduki mabomu ya machozi magari ya jeshi la polisi huku na huku kama nchi tayari imeingia kwenye Vita kama huna vitambulisho huna ruhusa kuingia eneo jengine unarudishwa ulikotoka.
Haki ya Wazanzibari kuna kila dalili sasa inataka kuporwa.
Haki ya Wazanzibari kuna kila dalili sasa inataka kuporwa.