Wazamani amerudi

Wazamani amerudi

ajipime mwenyewe , ila huyo wa primary nina wasiwasi naye
all in all achague mwenywewe asijejutia jf
 
Tatizo bidada kababaika na kampuni ya Jamaa wa primary siyo kingine.

Uchaguzi anao yeye.....
 
Mabo ya kushauriana mapigo ya moyo hata siyataki
Ye mwenyewe anajua anampenda yupi so asipoteze mda
 
Mie mwenyewe imenipa ugumu kwakweli ila I hope huyo dada atafanya right decision
 
Habari zenu wanajamvi, kuna rafiki yangu kaniomba ushauri nimeshindwa nimshauri vipi kuhusu tatizo lake, naomba tushirikiane kumshauri, yeye pia yumo humu anasoma ushauri wenu.

Yeye aliolewa miaka 6 iliyopita, mumewe amemnyanyasa sana, katika ndoa yao walibahatka kupata watoto watatu na walifunga ndoa ya bomani.

Waliposhindwana mwaka jana wakaachana kwa talaka.

Dada wa watu kalea watoto wake vzur tu bila kuwa na mwanaume, sasa wiki iliyopita kakutana na boyfriend wake wa primary na ni anampenda hatare afu hawajawah kugegedana! Jamaa hajaoa bt alikuwa anasoma nje, karudi ndo kafungua kampuni yake.

Walipokutana na huyo best yangu jamaa kamwambia best yangu bdo anampenda sana tu so anaomba wafunge ndoa ya kiislamu, mdada muislam jamaa mkristo bt jamaa yupo tayar kubadil dini amuoe mdada huyu.

Kasheshe sasa, mume walieachana nae amerud anaomba msamaha warudiane wakafunge ndoa upya walee watoto wao! Sasa rafik yangu amebaki dillema hajui afanye nini, yule wa primary ndo anampenda wanapendana tangu watoto wadogo, haya mume nae ndo karudi anaomba msamaha yaishe.

Mawazo yenu please wandugu

Kheri zimwi likujualo kuliko jipya, huyo mumewe wa zamani ameshafaham makosa yake ndio maana anaomba msamaha, la msingi asimkubalie tu ampe mashariti ambayo yatasaidia wao kuishi kwa amani, mwanaume akiondoka akarudi kwa magoti mara zote anakuwa mwema na ni mara chache anakuwa joka, huyu msomi wa europe amwache tu kwanza sidhani kama anamaanisha anaweza kuwa na matamanio tu na sio upendo, mtazamo wangu, nataka kufaham pia kwanini walifunga ndoa ya bomani? mara nyingi huwa hazidumu maana inafika time kila mtu haithamini ndoa na anatamani kuoa au kuolewa na mwenye dini yake ndio maana hii ndoa ya bomani kwa mwenyezi mungu haikubaliki, so all in all kama bado anampenda wafunge ndoa ya dini moja
 
aamue mwenyewe anachotaka vitu vingine havishauriki hususan mapenzi
 
Habari zenu wanajamvi, kuna rafiki yangu kaniomba ushauri nimeshindwa nimshauri vipi kuhusu tatizo lake, naomba tushirikiane kumshauri, yeye pia yumo humu anasoma ushauri wenu. Yeye aliolewa miaka 6 iliyopita, mumewe amemnyanyasa sana, katika ndoa yao walibahatka kupata watoto watatu na walifunga ndoa ya bomani. Waliposhindwana mwaka jana wakaachana kwa talaka. Dada wa watu kalea watoto wake vzur tu bila kuwa na mwanaume, sasa wiki iliyopita kakutana na boyfriend wake wa primary na ni anampenda hatare afu hawajawah kugegedana! Jamaa hajaoa bt alikuwa anasoma nje, karudi ndo kafungua kampuni yake. Walipokutana na huyo best yangu jamaa kamwambia best yangu bdo anampenda sana tu so anaomba wafunge ndoa ya kiislamu, mdada muislam jamaa mkristo bt jamaa yupo tayar kubadil dini amuoe mdada huyu. Kasheshe sasa, mume walieachana nae amerud anaomba msamaha warudiane wakafunge ndoa upya walee watoto wao! Sasa rafik yangu amebaki dillema hajui afanye nini, yule wa primary ndo anampenda wanapendana tangu watoto wadogo, haya mume nae ndo karudi anaomba msamaha yaishe. Mawazo yenu please wandugu
dah ivi wanaume walirogwa na na? kamwachia watoto alee mwenyewe eti leo anaomba msamaha? msamaha ya foot asikubariiiii
 
kuna wanaume wana moyo hata wafilipino hawana, aya bhana waache wenyewe waamue.
 
Kama kuolewa alishaolewa hiyo ndoa nyengine ni tamaa tu, arud kwa mumewe wasameheane walee watoto

Huyo wa kuoa mke na watoto 3. Afu eti waanzishe familia nyingine...! ngumu kumesa
 
Huyo mwanamke uamuzi wowote atakaoufanya atajuta mbeleni, iwe kurudiana au kuolewa upya kijana pedeshee huyo...

Mark my words!!!

Kasheshe sasa, mume walieachana nae amerud anaomba msamaha warudiane wakafunge ndoa upya walee watoto wao! Sasa rafik yangu amebaki dillema hajui afanye nini, yule wa primary ndo anampenda wanapendana tangu watoto wadogo, haya mume nae ndo karudi anaomba msamaha yaishe.
 
Ningefahamu chanzo cha kuachana na mume wa awali ingesaidia kushauri. Out of that msamaha for the kids sk. Unahusika.
 
YAMOTO...MAPENZI YA KITOTO....YAMOTO BEND MWEEE.ivi wanaume bana hivi mtu watoto watatu bado unataka kuowaaa asee
 
Habari zenu wanajamvi, kuna rafiki yangu kaniomba ushauri nimeshindwa nimshauri vipi kuhusu tatizo lake, naomba tushirikiane kumshauri, yeye pia yumo humu anasoma ushauri wenu.

Yeye aliolewa miaka 6 iliyopita, mumewe amemnyanyasa sana, katika ndoa yao walibahatka kupata watoto watatu na walifunga ndoa ya bomani.

Waliposhindwana mwaka jana wakaachana kwa talaka.

Dada wa watu kalea watoto wake vzur tu bila kuwa na mwanaume, sasa wiki iliyopita kakutana na boyfriend wake wa primary na ni anampenda hatare afu hawajawah kugegedana! Jamaa hajaoa bt alikuwa anasoma nje, karudi ndo kafungua kampuni yake.

Walipokutana na huyo best yangu jamaa kamwambia best yangu bdo anampenda sana tu so anaomba wafunge ndoa ya kiislamu, mdada muislam jamaa mkristo bt jamaa yupo tayar kubadil dini amuoe mdada huyu.

Kasheshe sasa, mume walieachana nae amerud anaomba msamaha warudiane wakafunge ndoa upya walee watoto wao! Sasa rafik yangu amebaki dillema hajui afanye nini, yule wa primary ndo anampenda wanapendana tangu watoto wadogo, haya mume nae ndo karudi anaomba msamaha yaishe.

Mawazo yenu please wandugu

Kwanza km mnafata sheria za dini ya kiislam huyo baba watoto wake haruhusiwi kumuoa tena huyo m.mke mpaka huyo m.mke aolewe then aachwe hapo ndo nae anapaswa kufata taratibu za ndoa nyingine! Km waliachana talaka zotetatu lkn ndo wanaweza wakafata hivyo nlivyosema hapo juu..
 
Miaka 6 na bado anajiuliza? Walipitaje hiyo miaka? Arudi waongeze 12
 
Kwa hiyo awaache wote?

Siku zote huwezi kufanya maamuzi yenye hekima ukiwa umejawa na wasiwasi, kisasi, woga na yote yafananayo na hayo...

Naamini mwanaume aliyekaa naye miaka sita ndani ya ndoa huyu bi dada atakuwa anamjua kwa uzuri zaidi kuliko mwanaume ambaye alikuwa ni boifrendi tu tena huko praimari...

Sasa kwa kuwa ubaya ya mtalaka wake anaujua lakini wakati huo huo ubaya wa 'boifrendi' haujui ni wazi mtu huyu aliyefanya maamuzi kwa wasiwasi, kisasi au woga kuna kila dalili za kujuta baadaye...

Sidhani wakati anaoana na huyo mtalaka wake alijua ipo siku watafika hapo walipofika kwa kuwa mapenzi pengine yalikuwa motomoto kuliko hata hayo mahaba anayoyahisi sasa kwa boifrendi wa praimari...

Aachane na wote ahangaike kulea watoto...
 
Yule baba watoto hana bao hapo, hadi Bidada aolewe na mwingine, na aachike ndipo yule Baba watoto itasihi ndoa mpya (re-newed) !! Kazi hapo.... (msamaha pekee hautoshi)
 
Sheria za kiislamu haziruhu mke alieachwa kwa talaka tatu au talaka isiyorejea kuolewa tena na mme huyo unless mwanamke huyo aolewe na mwanaume mwengine na aachwe kwa talaka tatu au talaka isiyorejea.

Na ni haramu kuolewa or kuoa ili uache or uachwe.
 
Back
Top Bottom