Mkuu naongezea.....tulifundishwa pia ufupisho wa habariMbona tulifundishwa somo la Mwandiko (Drs la 1 & 2), Kuandika Imla (Kuanzia Drs la 3..), Insha nk?.
Kwanini unashindwa kuwasilisha mada ili isomeke na kueleweka vizuri?.
Wabheja sana.Mkuu naongezea.....tulifundishwa pia ufupisho wa habari
Inawezekana jamaa kaandika/kaleta MADA hii akiwa KAPITILIZA furaha...Mbona tulifundishwa somo la Mwandiko (Drs la 1 & 2), Kuandika Imla (Kuanzia Drs la 3..), Insha nk?.
Kwanini unashindwa kuwasilisha mada ili isomeke na kueleweka vizuri?.
Wazaliwa wa kwanza kwa baba au kwa mama?
Asante rafiki,kiukweli nilikua nimechanganyikiwa,asante kwakunijibu bila kuniumiza zaidi,Mwenyezi Mungu akubariki.Ingawa nimesoma kwa tabu ila nimekuelewa kidogo, una wadogo 5 ambao pacha mara 2 na 1 kazaliwa peke yake.
Hao wanaosoma chuo kikuu wana hela ndefu na hujui wamezitoa wapi? Mkuu naamini wewe ni mtu mzima unaeza kuwaita ukaongea nao au ukawaita watu wazima wakawauliza kama una wasi wasi sana na vyanzo vyao vya mapato.
Kuhusu hao mapacha wa 2, Kwanini unawasihi warudi nyumbani wakati wapo wanatafuta kipato na umeona kabisa hapo wanauza kuku?
Mwisho, siku nyingine andika vizuri.
Ameen Mpendwa.Asante rafiki,kiukweli nilikua nimechanganyikiwa,asante kwakunijibu bila kuniumiza zaidi,Mwenyezi Mungu akubariki.
Kama kaleta mada akiwa kafurahi kupitiliza ni makosa.Inawezekana jamaa kaandika/kaleta MADA hii akiwa KAPITILIZA furaha...
Huwa inawatokea baadhi ya Watu...!!
Binafsi nilipenda kumuelewa ila nimeshindwa kuambulia KITU.