Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
- Thread starter
- #21
Najua. . . . inavutia bila marashi.
Lizzy, niseme au nisiseme?.........ya nani hiyo inayovutia bila ya marashi?
Najua. . . . inavutia bila marashi.
hapa ukiongezea na harufu mbaya ya kinywa lazima mpotezane tu...!!
Aah! harufu nyengine mbaya mpaka unataka kuzimia....