Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya harufu zetu na mahusiano na wengineo hususani wapenzi wetu. na ndiyo maana misemo ifuatayo hujitokeza kwenye jamii kuhusiana na harufu zetu:-
a) Jamani lakini ananuka kikwapa....................siyo kwamba hajamkubali lakini aona kuna changamoto hapo....................
b) harufu ya soksi zimenitoa knock out...............hatutaweza kuelewana kabisa...................ingawaje mambo mengine aonekana wamo........
c) marashi yake wajamani yananitia kichefuchefu....................
d) Hivi ni lini mara ya mwisho aliingia bafuni na kujisugua hadi akatakata.................ladba yabidi kwanza nimnunulie dodoti au hata jiwe halafu mwenyewe nifanye kazi ya kumsugua....................
e) Yaani hii harufu ni kama vile katoka kufanywa/ fanya................kwanini kabla hajatoka kwake hata hakuiosha...... chungeni harufu zetu na mwenzio akiikubali uwezekano wa kukulegezea masharti ni mkubwa.........