2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,083
![]()
:yo::yo::yo:
Yaani unafurahi kuona maafa.!?
![]()
:yo::yo::yo:
Hawa mimi nikiwaona popote duniani kama nina chansi napiga kisu.
Hivi MUNGU wa wakristo na waislam ni mmoja? Maana matendo ya Binadamu tofauti wenye hizi Dini mbili ni tofauti.
Dini gani tena hii inaruhusu kuua duh. ulaaniwe wewe na kizazo chako na anaekupa malezi ya dini na nyumbani pia shame on you. Are you from Tanzania or?
Hapana. Mungu wa waislamu ana nguvu. Kaumba mbingu na dunia na vilivyo ndani yakd na vilivyo katikati mbingu na dunia. Mungu wa wakristo alishindwa hata kujitetea wakati anachapwa viboko pale msalabani huku amevaa waislamu Mungu wao ni osama bin ladeni kazikwa chini ya bahari.
Hakuna marefu yasiyo na ncha....hata kama itachukua miaka mingapi.....
Tunakaribia kuliona anguko la Marekani kama super power....pia tunakaribia kuuona uhuru wa Waparestina ndani ya ardhi yao.......TIME WILL COME...
Watoto wachanga wa Gaza na Iraq wanaopigwa mabomu mbona uwa huonekani humu kulaani.Yaani unafurahi kuona maafa.!?
Watoto wachanga wa Gaza na Iraq wanaopigwa mabomu mbona uwa huonekani humu kulaani.
Nyie kina nani? Sijashangilia nimefuruhi tu hawa wapuuzi wanaotukana imani za watu kupigwa risasi ni haki yao walichokipata unawachokoza watu unategemea nini.Kwa hiyo wewe unafanya hivyo kama retaliation ya sisi kutokusikitikia mauaji ya watoto gaza?
Sisi huwa hatushangilii mauaji ya watoto gaza kama unavyoshangilia ugaidi. Sisi Tuko very sane kwenye hilo. Hii sio mechi ya mpira kama vile tunashangilia magoli. Hizi ni human souls.
Mbona basi Hamas wameonyesha kulaani kitendo hicho cha mauaji ya kigaidi nchini ufaransa na wao wako pale Gaza wanapajua Gaza vizuri sana kuliko wewe ? How bout that eh?
Hawa mimi nikiwaona popote duniani kama nina chansi napiga kisu.
Watoto wachanga wa Gaza na Iraq wanaopigwa mabomu mbona uwa huonekani humu kulaani.
Hakuna marefu yasiyo na ncha....hata kama itachukua miaka mingapi.....
Tunakaribia kuliona anguko la Marekani kama super power....pia tunakaribia kuuona uhuru wa Waparestina ndani ya ardhi yao.......TIME WILL COME...
Yap. Laana yako iende kwa hawa mayahudi wanaowaua wapalestina kama kuku kila uchao.
Watoto wachanga wa Gaza na Iraq wanaopigwa mabomu mbona uwa huonekani humu kulaani.
Nyie kina nani? Sijashangilia nimefuruhi tu hawa wapuuzi wanaotukana imani za watu kupigwa risasi ni haki yao walichokipata unawachokoza watu unategemea nini.
Huu ni uzushi kama sio ushuzi,,, jana waziri mkuu wa israel amemwambia Hollande alinde maeneo matakatifu ya wayahudi,,,!
Sheria ya Kuua MTU aliyetukana imani yako ni sheria ya mungu gani hiyo?
Mbona kosa haliendani na adhabu? Huo ni ukatili. Hawa terrorists huwa hawakosi jibu wala sababu kama imani inatukanwa zipo sheria mahakamani. Kuua MTU hakuwezi zuia watu kusema. Njia ni wao kutoa ufafanuzi, watasikizwa na kuheshimika. Civilised societies huwa ziNA tatua migogoro bila chuki wala kuumizana. The bottom line.. Siku zote Ugaidi hauna sababu ya msingi.
Naona Ni njia ya waoga Ku-intimidate sauti za watu zisisikike. Wanafanya vile ku-suppress valuable Information. Terrorism is the war of the cowards.
Truth being told.