chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Watu wanne waliokuwa na pikipiki wanaodiwa kuwa majambazi waliokuwa wamepanga kupora fedha kutoka taasisi moja ya fedha na maduka ya biashara huko Tukuyu Rungwe Mbeya, hili ni tukio la pili la ujambazi kutokea ndani ya miezi miwili mkoani Mbeya.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya amesema watu wawili waliuwa na polisi katika mapambano hayo na polisi na wawili wametoroka, waliouawa walikutwa na silaha mbili bastola na gobore.Kamanda huyo amesema wote ambao hawajasajili silaha zao mpaka sasa watakuwa na makosa kwa kuwa ndio zinazotumika kufanya uhalifu.