jaffari odhiambo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 526
- 13
nimeamini humu JF akili na ID za watu zinaendanaWanakera sana hawa jamaa mda wote midomo yao inanuka tu sigara hadi kero.
kweli kabisaNadhani wewe #NELSON ni mvutaji wa sigara kama sikosei.
Jamani hawa wavutaji wa sigara mbona wanashindwa kuwa wastaarabu? Mvutaji wa sigara anapovuta haangalii hata mazingira aliopo maana kuna wengine hawatumii sigara lakini wao hata katikati ya watu wanavuta tu bila kujali. Kwa kweli hawa nawachukia sana kwa kitendo wanachokifanya bila kujali afya za wengine. Smokers tend 2 think that every1
like the smell of that ciggarete
they smoke,pliz we pitty u while u
smoke!
acha unyanyapaa, unajua sirikali inakusanya kodi kiasi gani kupitia sigara?
hujui raha ya sigara wewe! raha ya ngoma uingie ucheze!
Sio ngoma ya kuvuta sigara. Yani sijavuta sigara miaka yote hio, leo unambie niivute ili nione raha yake?
Inahusu...
Mnatukera bwana, ukweli muambiwe. Midude haina hata faida na maudhi juu
Kwa kweli hawa wavutaji wa sigara wangejua wanavyonikera wangeacha sigara leo hii maana nawachukia sana. Majibu yao ni ya hovyo halafu wanavuta bila kujali kuwa kuna ambao wanakerwa na harufu hiyo ya sigara. I really hate these people.
sasa serikali yako haina usemi kwaiyo vumilia tu!
wacha nimalizie hii SM narudiNa.nyie muwe na staha msikere wenzenu hata kama serikali haina usemi
Huyu chaUkucha amebaha.