Mkuu umeandika kwa feelings kali.Inasikitisha sana watu wanateketeza sakrament ambayo Jah amemuumbia binadamu ili immpe hekima
Babylon wamaipa sifa mbaya na sasa wanaita madawa ya kulevya wameleta sakrament zao za kutengeneza zenye kilevi
Jah aliibariki sakrament Ile ndio maana huwezi kulewa na sifa ya ulevi lazima uyumbe ila Ile hata ule gunia huyumbi
Kwa laana ya kuteketeza sakrament takatifu nchi itapata ukame na majanga
Acha tu naangalia taratibu za kupata uraia nchi nyingine ambapo nitamuabudu Jaha kwa amani just think mnashriki meza ya Bwana kanisani kwenu then mnakamatwa na kushtakiwa miaka mingi Babylon Babylon tu oh Jaha protect usMkuu umeandika kwa feelings kali.
Kwa jirani hapo ipo? Au chattle gani unayotoka vipi taita wa hapo anaichukuliaje?Huku kwetu chattle imejaa tele kama pishi la mchele.
Eti sakrament..!Bila Shaka utakuwa Una comment Uku Umeshakula janiMkuu umeandika kwa feelings kali.