Wavuta sigara mnapata faida gani?

Wavuta sigara mnapata faida gani?

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
117
Reaction score
387
Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu.

Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata haja bila kuvuta sigara.

Unaweza shtuka ata usiku mnene ukatembea umbali mrefu kufuata sigara tu.

Uwezi kuona karaha ya sigara kama Mvutaji, Jaribu kukaa pembeni ya Mvutaji utaona kero zake.

Sigara inasababisha mdomo kunuka pia meno yanakosa uang'avu wake, binafsi nimeshuhudia watu kadhaa wakitoa ushuhuda walivyo pigwa mabomba ya kutoa moshi kwenye mapafu kadharika kansa ya mapafu na kansa ya koo ni matokeo ya uvutaji wa sigara kwa muda mrefu.

Bado haujachelewa muda bado upo chin up kwa kuanza punguza Idadi ya sigara unazovuta kwa siku pia kama unaweza funga pia inasahidia.

_20250726_202308.JPG
 
View attachment 3419731
Hujawah kuvuta ndio maana hujui...Ingekua kujaza moshi tu watu si wangekua wanajaza moshi wa kuni kwenye mapafu
 
Kila mtu na starehe yake. Mbona wengine wanazama chumvini au hata wengine kufanywa na wanaume wenzao lakini hatusemi?
 
Mimi huwa nawapa hongera ya uvumilivu Wanawake walio kuwa kwenye mahusiano na Wavuta sigara huwa najiuliza wanawezaje kuvumilia harufu ya mvuta sigara yaani kiss wanapigaje🤨
 
Kuna wadada wengine hiyo harufu ndiyo inawapandisha midadi 🤔
 
Da sitakuja kusahau nilivyoacha sigara kwa miaka minne kisha nikaanza tena kuvuta kwa miaka mingine mitano nikafanikiwa kuacha,toka kipindi hicho sijavuta mpaka leo
 
Yani kitu kishaandikwa ni hatari kwa afya yko hlf bdo mtu anavuta hlf kwenye mambo ya kimila utasikia ah iyo kitu serikali wamekataza

Akili kumkichwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom