Wavuta bangi na embe!

Wavuta bangi na embe!

Hao watakuwa wanalitafuna hilo bangi bichiiii,na co wanavuta.
 
Hahahahah.... Jamani Bangi noma! wengine huwa wanajiita president.
 
Uuuuuuuuuuuuuwwiiiiiii...mbavu zangu.......mjini shule!
 
bangi balaaaaaa! anaweza kukukata na panga kisha akakuuliza , damu inatoka?
 
Inachekesha eeeh! kumbe bangi inaleta maarifa au hujagundua, lengo ililkuwa ni kupopoa embe na sio kuchuma na ni vizuri kujiridhisha kama unachokipopoa kimeiva, bangi huleta akili, bisha, cheka, nuna nikugaie kijiti upone na usikikumbuke kikombe
 
Hapo umenena mkuu,thumb up!
 
Hiyo bangi itakuwa ya tandika maguruwe na imechanganywa na mavi ya swala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom