Wavuta bangi na embe!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Wavuta bangi wawili waliliona embe juu ya mti wakaamua kulipopoa.Walirusha mawe mengi bila kufanikiwa kuliangusha lile embe.Mvuta bangi mmoja akasema;isije ikawa embe lenyewe bichi,ngoja nipande juu nikalicheki.Baada ya dakika 5,yule mvuta bangi akashuka chini,akamwambia mwenzie;nimelibonyeza limeiva vizuri kabisa,tuendelee kulipopoa mwana wane!
 

Heeee!! kweli bangi nibangue noma!!
 
hahahaaaaa, always wavuta bangi...
eti wana muogopa sana afande kuliko sir God..daaaah
 
Chee che che..kwi kwi kwikwiii...bange nibangue nijue majina halisi ya members wote wa Jf.!
 
mkuu wavuta bangi noma
 
We ni yupi kati ya aliyepanda mtini na huyu aliyebaki chini..???
 
Hawa jamaa kweli ni balaa,natamani kwenda Jamaica nahisi vituko kama hivi vipo vingi,yaani ni kucheka mwanzo mwisho..
 
Hawa jamaa kweli ni balaa,natamani kwenda Jamaica nahisi vituko kama hivi vipo vingi,yaani ni kucheka mwanzo mwisho..
Lakini kwa wenyeji wa jamaica haya mambo ni ya kawaida tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…