kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Nimesikia sehemu ya hotuba ya Raid alipokuwa shy,akisema ni wakati sasa wa wakulima kutajirika kwa kuuza being kubwa mazao yao kutokana na uhaba wa mvua unaotishia njaa.Sasa naomba nimkumbushe mh kwamba,wakulima walishauza zamani kwa walanguzi wenye mitaji,sasa watakaofaidika sio tena wakulima.
Naombeni mnisamehe kwa kumkosoa Rais.Ni maoni yangu tu kutokana na uzoefu mdogo nilionao.
Naombeni mnisamehe kwa kumkosoa Rais.Ni maoni yangu tu kutokana na uzoefu mdogo nilionao.