Wauzaji wa vifaa vya hotelini

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,140
618
Habari wana jukwaa.

Naomba mwenyekujua wauzaji wa vifaa vya hotelini ikiwa ni pamoja na:-

1.Viti
2.Meza
3.Vifaa vya jikoni
4.Vifaa vya kusave n.k
5.Miamvuli inayoweza kutengeneza kivuli na kuwakinga wateja na mvua.


NB:-Cafteria yangu itakuwa ya nje hivi.

Mwenyekujua anisaidie mawasiliano ya muuzaji,nitashukuru sana.
 
Back
Top Bottom