S sunak90 Senior Member Joined Jan 17, 2024 Posts 125 Reaction score 308 Nov 15, 2024 #1 Habari za asubuhi viongozi naomba muuzaji wa vifaa vya simu Kwa bei ya Jumla ,vitu kama Mic, LCD za simu ndogo hizo Techno na nyingine karibuni
Habari za asubuhi viongozi naomba muuzaji wa vifaa vya simu Kwa bei ya Jumla ,vitu kama Mic, LCD za simu ndogo hizo Techno na nyingine karibuni
Manepesa JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,066 Reaction score 3,705 Nov 15, 2024 #2 Unataka kwenda kuwatapel akina nani..
S sunak90 Senior Member Joined Jan 17, 2024 Posts 125 Reaction score 308 Nov 15, 2024 Thread starter #3 pesakilakitu said: Unataka kwenda kuwatapel akina nani.. Click to expand... naenda kuuza na kuwauzia mashabiki mbumbumbu wa 5imba
pesakilakitu said: Unataka kwenda kuwatapel akina nani.. Click to expand... naenda kuuza na kuwauzia mashabiki mbumbumbu wa 5imba
S sunak90 Senior Member Joined Jan 17, 2024 Posts 125 Reaction score 308 Nov 16, 2024 Thread starter #4 watu mmegoma kuja kufanya biashara na mimi
S sunak90 Senior Member Joined Jan 17, 2024 Posts 125 Reaction score 308 Nov 16, 2024 Thread starter #5 au wauzaji hampo humu