Wauzaji balo za mtumba grade 1

Wauzaji balo za mtumba grade 1

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
KARIBUNI SANA balo safi za mtumba wauzaji balo za mtumba grade 1 kutoka China uk Canada uingeleza Dubai na korea

Tuna balo za nguo aina zote Viatu mabegi shuka pazia

Mawasiliano 0657710078

Tunapatikana ilala dar es salaam mikoani tunafanya delivery
 

Attachments

  • 1747739107433.jpg
    1747739107433.jpg
    476.7 KB · Views: 30
Nataka kujua baloo la.mikoba mnauza bei gani?na viatu ladies unavyo na bei yake ni aje kwa baloo?
 
Uwa nawaza hizi balo hawazifungui kweli na kuchambua nguo?
 
Mnauzaje balo za nguo za watoto Ke na Me? 5_12yrs
 
Villanova tito
Jazia nyama zaidi. Sio watu wote watapiga simu.

Weka bei ya hizo balo,
Za nguo gani?
Na kg ngap?
Mko wap?
Kama mtu yuko mkoa mnatumaje?
Analipiaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom