Wauza sura Mlimani City

Wauza sura Mlimani City

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Jamani nimegundua watu wengi wanaoenda Mlimani City wanakuwa hawana issue ya maana zaidi ya kwenda kuuza sura.

Iko hivi, ukifika Mlimani City utawakuta mabrazamen na masista duu kibao wanatembeatembea tu bila mpango wowote atashangaa hiki mara kile atakaa chini anapiga miayo ya njaa mara atajifanya yupo bize na kismart phone cha mchina kumbe hakina salio lolote,baada ya muda watanunua ice cream za watoto watalambalamba.

Wakimaliza kuuza sura wataondoka zao.

Wakuu mkitaka kuamini nendeni Mlimani City mtawaona .

Jamani nendeni Mlimani City mkiwa na issue za maana na sio kuuza sura tu.
 
Ndy maana shopping mall INA mengi nakama wameenda window shopping
 
Pengine wewe ndio hua huna la maana , kila mtu ana starehe yake ndgu , Usimuone mtu anatembea ukadhan ana zurura , n moja ya starehe yake , Tokea juma tatu mpk ijumaa mtu amekalisha vimakalio ofisin , Unataka na hapo akakae tena ? Jifunge kitambaa usiwaone
 
huo sasa wivu
afu hujui wengi wa unao waona pale wanakuwa wanasubiria kuingia movie na hii mtu akifika mapema anasubiria muda wa muvi anayotakia ufike aingie. Kula ice cream ni jambo la kawaida sana wakti mtu anasubiria muvie time.

afu wewe jali yako ulokwena na fuko la kazi maalum huko, wenzio ata tu kutizama wanaopita kwao ni sehem ya mapumziko.

afu nakushangaa ivi kama ndo unakazi nyingi kama unavyojitanabahisha apa unapata wapi muda wa kutizama wengine?

simple mind hii, na wee ni mmojawapo wa wauza sura hao
 
Sometimes mtu unapita kuangalia bei za vitu mbali mbali na kuget angry ndo mana ya windows shopping" thn ukajipange au ujue utapata wapi pesa. Pia kuna offers mbali mbali zinatolewaga kwaio bila kupitia pitia huwez jua . I sapport thm
 
Utalii wa ndani bana.
We unajua mifuko ya watu?
Pale kuna sehemu za kupata japo chai, sasa we unadhani kila unae mwona anazunguka pale hana la kufanya?
 
Wazungu wanaita window shopping, kuingia dukani sio lazima uwe na hela ya kununua kuna kitu kinaitwa customer behaviour unafanya research kabla hujafanya maamuzi sio kila mtu muuza sura wengine wanafanya tafiti zao
 
jamani nimegundua watu wengi wanaoenda mlimani city wanakua hawana issue ya maana zaidi ya kwenda kuuza sura, iko hivi ukifika mlimani city utawakuta mabrazamen na masista duu kibao wanatembeatembea tu bila mpango wowote atashangaa hiki mara kile atakaa chini anapiga miayo ya njaa mara atajifanya yupo bize na kismart phone cha mchina kumbe hakina salio lolote,baada ya muda watanunua ice cream za watoto watalambalamba. wakimaliza kuuza sura wataondoka zao. wakuu mkitaka kuamini nendeni mlimani city mtawaona .jamani nendeni mlimani city mkiwa na issue za maana na sio kuuza sura tu.

Wanaenda kunua dawa ya mswaki au sabuni ya kuogea lol kwa mangi zimeisha.
 
Pengine wewe ndio hua huna la maana , kila mtu ana starehe yake ndgu , Usimuone mtu anatembea ukadhan ana zurura , n moja ya starehe yake , Tokea juma tatu mpk ijumaa mtu amekalisha vimakalio ofisin , Unataka na hapo akakae tena ? Jifunge kitambaa usiwaone

Mwambie huyo, na wengibe ndio kazini hapo.
 
Pengine wewe ndio hua huna la maana , kila mtu ana starehe yake ndgu , Usimuone mtu anatembea ukadhan ana zurura , n moja ya starehe yake , Tokea juma tatu mpk ijumaa mtu amekalisha vimakalio ofisin , Unataka na hapo akakae tena ? Jifunge kitambaa usiwaone

mkuu nawe inakuhusu au?
 
si wanatalii bro. Hata mimi huwa napita pale kupata kiyoyozi baada ya kutembea kwa miguu kutoka ubungo mpaka mwenge so lazima nichepuke pale nipate kwa air condition kidogooo

mkuu bora wewe unakua na special issues
 
hujui maana ya kurelax wewe

Tanzani sijaona sehemu ya kupumzisha akili watakuja watu hapa watakuambia bar, sijui hotel tembeeni kwa wenzenu ulaya huko kuna sehemu zimetengwa kwa ajili ya kuipa akili afya unakutana na maua mazuri miti ya kijani, ukoka uliokatwa madadi, kiyoyozi cha Mungu, muziki wa ndege sio huku magomeni, eti mnazi mmoja ndio garden za kupumzikia, hizo beech zetu ndio majanga .
 
huo sasa wivu
afu hujui wengi wa unao waona pale wanakuwa wanasubiria kuingia movie na hii mtu akifika mapema anasubiria muda wa muvi anayotakia ufike aingie. Kula ice cream ni jambo la kawaida sana wakti mtu anasubiria muvie time.

afu wewe jali yako ulokwena na fuko la kazi maalum huko, wenzio ata tu kutizama wanaopita kwao ni sehem ya mapumziko.

afu nakushangaa ivi kama ndo unakazi nyingi kama unavyojitanabahisha apa unapata wapi muda wa kutizama wengine?

simple mind hii, na wee ni mmojawapo wa wauza sura hao

loading....
 
Back
Top Bottom