Wauza smartphone tukutane hapa

Nimeuza h6 tyr Nina huawei y530
Being no 120k tu.
0657445777
 
Nina Samsung s6 mpya na kila kitu chake.. Bei 1.5 million.
Nicheki kwenye 0717591756
 
Mwenye kuhitaji GALAXY S5(500,000TZS), S6 (600,000TZS) mpya-original
 
Mambo zenu wadau kitu chasumsung
galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android 4.3 jelly bean
BEI: tsh. Laki 5 na nusu (tsh 550,000)
LOCATION: Dar Es Salaam (kigamboni)
Call: 0718295182
0713922557
Ahsante


 
nauza Huawei ascend mate 7,

internal storage 32gb
camera 13MP
ina kila kitu na imetumika miezi 4 tu,


na pia natafuta mwenye iphone 6 au iphone 6+ aniuzie isiwe ya magumashi wala isiwe fake,najua iphone vizuri sana kwa hiyo kama ni ya magumashi staki,
 

sh ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ