Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza huawei y530 135,000_ na Nina Sony xperia Z1 nauza 480,000 ina charge
 
bei hiyo ulinunua mwaka gani hata wakati zinatoka hazikuwa bei hiyo.
anyways the price might be resonable depending on the usage duration.
ina muda gani toka itoke dukani?

Mkuu huawei y530 ina 2month na experia z1 ina 4month old
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…