Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,442
Maana nina soko la uhakika nikizifikisha nchukua changu narudia mzigo
Nauza unga wa mahindi dona na sembe kwa jumla, yaan nasagisha mwenyewe na kupak kwenye viroba, karbu tufanye biashara, tani zozote unazohitaji nakuletea had kwenye biashara yako ilponataka kufungua store Ya nafaka hapa Dar kwa wauzaji WA nafaka mikoani tuwasiliane tuyajenge
Mm Nina njugu mawe kama tani 10 na karanga tani 2 natafuta mnunuzi wa Nafaka hizombali
Mm Nina njugu mawe kama tani 10 na karanga tani 2 natafuta mnunuzi wa Nafaka hizo
Nipo MASASI mjini kilo moja shilling 2000 zipo kama tani 18 za njugu mawe kwa muhitaji basi tuwasiliane
Mahindi unanunua mkuu? Na kama ndio ni kiasi ganiMimi nauza nafaka za jumla nipo dar mwananyamala sokoni... Ukitaka kuleta kutoka shamba sawa au ukitaka kuja kununua sawa pia
Bei 600 yawe manene ya mbeya/songea sio dodomaMahindi unanunua mkuu? Na kama ndio ni kiasi gani
600 kwa kilo?Bei 600 yawe manene ya mbeya/songea sio dodoma
Ndio600 kwa kilo?