Wauza nafaka tukutane hapa

Wauza nafaka tukutane hapa

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,269
Habari wandugu
Kama title inavyojieleza, nimeona ni vyema kuanzisha Uzi huu ili iwe rahisi kwa wadau (wauzaji na wanunuzi wa nafaka mbali mbali) kukutana na kufikiana. Taja aina ya nafaka unazoziuza,bei ,na mahali unapopatikana. Binafsi Mimi nipo kwenye upande wa wanunuzi hivyo itatusaidia sisi wanunuzi kuona namna ya kuweza kufikiana na wauzaji kirahisi zaidi. Karibuni
 
Hivi korosho ni nafaka? nina kilo 10 za korosho zilizobanguliwa nahitaji kujua soko la sasa ili niziuze.
 
Nna mahindi mengi balaaa natafuta mnunuaji
 

karanga-570x456-jpg.705406


KUNA TANI 30

Unauza zote kilo unauzaje na upo wapi?
 
nataka kufungua store Ya nafaka hapa Dar kwa wauzaji WA nafaka mikoani tuwasiliane tuyajenge
 
Utakapokuwa tayari sema location na bei zako uletewe mazao ya aina yoyote utakayoo
mkuu Mimi nipo tayari nipo mbezi msakuzi bei nategemea uniambie wewe na Aina za nafaka unazoweza kuleta tutaelewana tuu Hakuna shida
 
Back
Top Bottom