Wauza Majeneza Moshi Walalamika hali mbaya

Wauza Majeneza Moshi Walalamika hali mbaya

.biashara hizi zinakazi ,
Kwa hio vifo vingi ndio biashara nzuri kaaa,sasa hivi tunavilingishana kwenye mikeka tuuuu tunazikana maaana hela imekuwa ngum ya kununulia jeneza
 
Kwa maana hiyo rate ya kufa imepungua? Itabidi wauza majeneza waanzishe biashara nyingine ya kuua watu ili wateja waongezeke biashara ifanyike!
 
Aisee walitegemea ndio watauza sana lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo daah maisha haya
 
Waambie wawe wanafanya promo
Kuna mmoja pale moshi yeye anatoa discount ya 30% kwa wateja. Ila discount hiyo inatolewa kwa wateja walio hai. Kwamba unaenda kuweka booking nikitangulia ndugu waje kuchukua hili box. Mnapeana mkataba.
 
Wachaga hawafi, wanalaza watu njaa....Hao wauzaji kuna ulazima waanze piga promo
 
Mambo ni kutegemeana , kufa ni lazima , hivyo mtu anapata riziki nae muuzaji majeneza akifa mwingine anapata riziki . Ni biashara poa . Atakaeishi milele ataipinga biashara
 
Wafanyabiashara ya Majeneza Mjini Moshi wamelalamika hali ya biashara kuwa ngumu.

Wafanyabiasharaa hao wameeleza kwamba, inaweza pita miezi miwili hujauza jeneza hata moja.


Biashara ya majeneza Moshi yazua mjadala
hicho ni kiashiria cha kuimarika huduma ya afya kwenye jamii.ni Jambo la heri. Ila pia inawezekana watu wakawa wamehamia kwenye kutengeneza majeneza rahisi,nyumbani tu.
 
Back
Top Bottom