CCM KWA HOJA DHAIFU NI NUMBER ONEEEE.....! KOMBA ALIWAHI KUIMBA HIVYO!
Haya sasa CCM huwa wanakuja na hoja yao ooooah CDM wanashindikiza migomo kuipinga Govt legelege, Govt kama hiyo kushindwa kuwapa wananchi haki yao je CDM kwanini wasihamasishe maandamano.....?
Watanzania leo wanashuhudia laana ya kusema uongo kila kukicha, sasa wafanyabiashara wa wamafuta ambao ni wafadhili, marafiki etc zao wanawaumbua....!
CCM jifunzeni kusema ukweli daima, Uongo ni Ulegevu wa utawala na Uoga wa kushindwa!
Walizoea kulalama khs maandamano ya wananchi yaliyokuwa yanaongozwa na CDM pasipo kufanya utafiti wa chanzo chake.
Maandamano ya CDM huwa yanasimamia mambo ya msingi ktk jamii, but CCM ktk kukwepa wajibu wao huwa wanadai CDM kinachochea Uvunjifu wa amani na kuleta madai ya kuwa CDM kutaka Govt isitawale.....!
Huu msemo wa CCM kusema zidumu fikra za Mwenyekiti cjui kama bado wanautumia? maana Govt yote imelala ktk tatizo hili ma mengineyo..., wamemtupia mpira Mr Massebu!
labda tusubri mfungo wa Ramadhani uishe labda jamaa ataamka kuja kututatulia huli tatizo!