Wauza laptop tukutane hapa

Ninayobattery del 620 inatunza charge Massa matatu Niko kanda ya ziwa
 
Ni mpya..weka mawasiliano ukifika tz nkucheki
 
200,000 nakupa cash
Mkuu hiyo hela sio ndogo ila haina maslah kozi hizi computer ni expensive na ni adim sna, kuna mtu nilimuuzia hp elitebook 2740p ambayo ni toleo la nyuma la Hp elitebook 2760p kwa laki 3.5. Hiyo kuna mtu anaitak kw lak 4.2 hadi siv so angalau 4.5, computa ni used coz naitimia.
 
Ni mpya..weka mawasiliano ukifika tz nkucheki
Sio mpya mkuu, ni used, naitumia mm, ntakupa mawasilian niki confirm imefik kiuhakik coz watu zaid y mmoj wanaihitaj so nafatut reasonable price ndio ntampa mawasilian, sorry 4 that.
 
Poa
 
Bila picha ni sawa na kufanya mzaha kwenye biashara, MTU akiona na akatajiwa bei huvutika zaidi, Sasa nini mnaweka detail za laptop zenu kila picha wala bei hamuweki unategemea kupata wateja? Na ndio maana kila MTU anasoma anapita tu.
 
Nauza laptop DELL INSPIRON 15

2GB. RAM
5000 HDD
processor =Intel(R) 1.4GHZ
Price=350k
 
Nauza hp envy core i5 4th gen, specs 8ram, 750hdd, processor 1.7, touch screen , inauwezo wa kujikunja 360 yaani kama tablet , INA windows 10
Nichec kwa 0652 760 070 tuongee bei !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…