Wauza laptop tukutane hapa

Vp kuhusu nvidia card? Unazo?
 
Nahitaji battery ya laptop dell latitude d620.Mwenye nayo ni on Niko Kanda ya ziwa.
 
Kwa wale wenye matatizo na umeme...nauza UPS kwa bei nafuu sana
 

Attachments

  • IMG_20170511_113627.jpg
    208.7 KB · Views: 103
Nauza Lenovo G500 bei poa kabisa , hdd500 , ram 4gb,processor 2ghz, windows 10... ni mpya kabisa , bei laki 3 na nusu , hakuna maongezi Zaidi ya hapo..


kwa maelezo Zaidi ni PM

Umeiuza hii?
 
Jichinje sitaki kesi jihukum mwenyewe
 

Attachments

  • IMG_20170514_075237.jpg
    42.9 KB · Views: 108
  • IMG_20170514_075243.jpg
    31.9 KB · Views: 102
  • IMG_20170514_075419.jpg
    35.3 KB · Views: 103
Kwa anayefahamu fees in kiasi gani ukiagiza laptop anijuze tafadhali. fees na VAT
 
Nauza Dell inspiron min laptop, Tshs 220,000
-
-Ram 2Gb
-HD 250Gb
-Ina tatizo Speaker za nje, ukitumia subwoofer iko poa.


Contact: 0675107182.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…