M Misana Edwin New Member Joined Mar 22, 2012 Posts 2 Reaction score 1 Mar 25, 2012 #1 hivi nyie wauza koni ndo makusudi au. mkiona hakuna wateja mnakuja nyumba za watu alafu mnawaita watoto ili wakiona vitu vyenu waanze kulia ili wapate kununuliwa na wazazi wao achane hizo bana maisha magumu.....
hivi nyie wauza koni ndo makusudi au. mkiona hakuna wateja mnakuja nyumba za watu alafu mnawaita watoto ili wakiona vitu vyenu waanze kulia ili wapate kununuliwa na wazazi wao achane hizo bana maisha magumu.....
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Mar 25, 2012 #2 hizo ni tabia zao za kutafuta wateja kinguvu
M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Mar 25, 2012 #3 Huo ni ujasiriamali!Wanatafuta soko la biashhara!Mnataka wakale wapi?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 25, 2012 #4 Biashara ubunifu
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Mar 25, 2012 #5 sasa wao watakula wapi?