Halmashauri zitachangia ongezeko la bei tu ya bidhaa sokoni, maana wao kipaumbele ni maokoto tu.
Kuhusu suala la usafi wa mazingira yao ya biashara naamini wateja tuna nafasi ya kuwashauri na kuwarekebisha pale wanapozingua bila serikali kuingilia kati