waungwana

Siku zote unachoandika kinakuelezea mwonekano wako na tabia yako.

Kaka yangu alipelekwa na mama kuombewa kazi ya polisi Kwa boss,kosa lake alikunja nne kwenye sofa.

Alichanwa hapo hapo kuwa hapati kazi.
 
Back
Top Bottom