yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,926
- 4,198
Hii simu imedondoka na wino umevilia kama inavyoonekana. Lakin inafanya kazi kama kawaida. Hata ukitouch upande huo wenye wino inafanya vizuri tu.
Je kuna namna yoyote ya kuondoa wino huu badala ya kubadilisha display? Mwenye uzoefu naomba ushauri namna ya kufanya.
Je kuna namna yoyote ya kuondoa wino huu badala ya kubadilisha display? Mwenye uzoefu naomba ushauri namna ya kufanya.