waungwana naomba mni abarishe kuhu haya

waungwana naomba mni abarishe kuhu haya

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,254
Reaction score
44
npo kijijin isansa hakuna tv wala radio, naomba majibu ya maswali yangu.1 vipi bunge la katiba limeshaanza? 2.kama limeanza je vipi weled wa wale wajumbe 201 umekidhi hadhi ya hoja ya kibunge? 3.nan ni mwenyeki wa bunge la katiba? Nasubili majibu yenu kwa hamu
 
m.kt wa muda ni kificho,bunge lmejaa washenz na wahuni tupu.yaan walianza kidai lak3 haiwatosh.juz mkulo kaibiwa beg lake lenye vtu vya thaman kama lap top.leo kaibiwa mwngne bt jran yake alikuwa makonda.hvo aliitwa kusachiwa.naaa.... lngne nakala kutotosha bungen.zimeenda wap,mm sjui.n umbeya huo tyuuuu,nlonao.
 
Isansa?! Du, haya. Msalimie Nzowa.
 
mmmh bora ubaki kijijini mpk bunge la katiba limalizike. lusinde kaja na matusi mapya
 
Back
Top Bottom