Waungwana naomba kufahamishwa

Waungwana naomba kufahamishwa

MO's

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
15
Reaction score
2
Hello my dear brothers and sisters! I hope you are doing great, I have been receiving texts through my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile today at /facebook.com/ and became interested in you,i will also like to know you the more,and I want you to send an email to my email address so I can give you my picture for you to know whom I am.
Here is my email address(........)
I believe we can move from here!
I am waiting for your mail to my email address above.

(Remeber the distance or colour does not matter but love matters a lot" from individuals that their identities real strange to me!!

Please can any one help me what is real behind this?
 
Asanteni sana jamani, namshukuru Mungu sijawa mwepesi kuwajibu! Nilihisi somethingi is not right.
 
Me huwa nawajibu kwa kiswahili tu. Na huwa hawarudi teena...utapeli wa zamani huo.wala hawampati mtu makini...
 
Hello my dear brothers and
sisters! I hope you are doing great, i have been receiving texts through
my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile
today at /facebook.com/ and
became interested in you,i will also like to know you the more,and i
want you to send an email to my email address so i can give you my
picture for you to know whom i am.
Here is my email address(........)
I believe we can
move from here!
I am waiting for your mail to my email address above.

(Remeber the distance or colour does not matter but love matters
alot
" from individuals that their identities real strange to me!!!!
Please can any one help me what is real behind this?

The last time I received one of those facebook messages, the sender had mentioned that she had throat cancer, I replied you'll surely get that throat cancer you are wishing for and she didnt reply. Alikaa kimya.
Hao Mimi huwa nawatukana kabisa, ni matapeli na wapuuzi sana, wanadhani Bado kuna wapuuzi wa kuwasikiliza siku hizi.
 
Utapeli wa kijinga sana huo, sijui kama kuna b.wege yeyote aliyewahi naswa
 
Hivi njia wanayotumia inawawezeshaje kufikia azma yao ya utapeli?
 
Real interesting!!! Mtu kutoka kusikojulikana anakutumia sms eti kavutiwa na profile kibaya zaidi profile yangu haina picha yangu na some important information that catch someone's attention hazipo! Sidhani kama kuna yeyote atanasika kwenye mtego wa namna hiyo!!!
 
Hivi njia wanayotumia inawawezeshaje kufikia azma yao ya utapeli?
Halo Daata! Njia wanayotumia hawa matapeli lazima watakunasa tu kama utawajibu meseji zao. Atakuambia hivi mathalani (na wengi ndo wanafanya hivyo)......... kuna mzazi/ndugu/ yangu alifariki mwaka xxxx. Aliacha urithi benki kiasi cha dola 2,500,000. Urithi huo upo kwa jina langu xxxx na ili nizichukue fedha hizo, natakiwa niziingize kwenye akaunti ya mtu mwingine ninayemwamini. Nimetokea kukuamini sana tangu nilipoona akaunti yako ya fb. Naomba unitumie jina na namba ya akaunti yako ya benki ili nihamishie huko urithi wangu. (Ukiwaza kuwa dola milioni mbili u nusu zitahamishiwa kwenye akaunti yako, unaona huo ni mshiko wa kutosha, na unampa jina na namba ya akaunti.Baada ya hapo utapeli ndo unaanza). Akishapokea jina na namba ya akaunti anaanza: 'unajua bwana,benki za huku zinachaji dola 120 kuhamisha dola2.5ml kwenda kwenye akaunti nje ya nchi. Unawaza na kuwazua kasha unamtumia dola 120.Akizipokea, anakuja na jingine:kuna ndugu yangu mmoja amegundua kwamba nahamisha urithi wangu, anataka kuniripoti kwenye bodi yetu ya utamaduni na urithi. Tuma dola 50 tumnyamazishe! Ataendelea hivyohivyo kukutapeli na utakapostuka, hakuna hata senti moja itakayoingizwa kwenye akaunti yako. HUO NDO UTAPELI WENYEWE NDG DAATA, NA WENGINE WATAONGEZEA.
 
Last edited by a moderator:
Utapeli wa kijinga sana huo, sijui kama kuna b.wege yeyote aliyewahi naswa

Wengi tu wamewahi kupigwa na hao jamaa. Huwa wanatarget watu wenye ufahamu mdogo wa ulimwengu kwa assumption kuwa wanahadaika kirahisi.
Hata hizo email na facebook messages wanatuma maelfu kwa pamoja ili kati ya hao maeelfu wakipatikana mazuzu 20 au 50 watakaolipa dola 200 mpaka 500, kwao ni faida!
 
Halo Daata! Njia wanayotumia hawa matapeli lazima watakunasa tu kama utawajibu meseji zao. Atakuambia hivi mathalani (na wengi ndo wanafanya hivyo)......... kuna mzazi/ndugu/ yangu alifariki mwaka xxxx. Aliacha urithi benki kiasi cha dola 2,500,000. Urithi huo upo kwa jina langu xxxx na ili nizichukue fedha hizo, natakiwa niziingize kwenye akaunti ya mtu mwingine ninayemwamini. Nimetokea kukuamini sana tangu nilipoona akaunti yako ya fb. Naomba unitumie jina na namba ya akaunti yako ya benki ili nihamishie huko urithi wangu. (Ukiwaza kuwa dola milioni mbili u nusu zitahamishiwa kwenye akaunti yako, unaona huo ni mshiko wa kutosha, na unampa jina na namba ya akaunti.Baada ya hapo utapeli ndo unaanza). Akishapokea jina na namba ya akaunti anaanza: 'unajua bwana,benki za huku zinachaji dola 120 kuhamisha dola2.5ml kwenda kwenye akaunti nje ya nchi. Unawaza na kuwazua kasha unamtumia dola 120.Akizipokea, anakuja na jingine:kuna ndugu yangu mmoja amegundua kwamba nahamisha urithi wangu, anataka kuniripoti kwenye bodi yetu ya utamaduni na urithi. Tuma dola 50 tumnyamazishe! Ataendelea hivyohivyo kukutapeli na utakapostuka, hakuna hata senti moja itakayoingizwa kwenye akaunti yako. HUO NDO UTAPELI WENYEWE NDG DAATA, NA WENGINE WATAONGEZEA.

Haswaaa umejuaje hz email kumbe znakuwa znafanana eti eeh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom