Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,400
- 1,546
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna gari dume na jike!!Only in Tanzania magari yana jinsia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna gari dume na jike!!Only in Tanzania magari yana jinsia
Mkuu unakumbuka gear liver yake ilivyokuwa positioned,umenikumbusha mbali sanaRENAULT ROHO gari moja ilikuwa matata sana enzi zake. Mafuta kidooogo mwendo mdundo. Kilichoning'inia ndo ulinzi wake
Mkuu unakumbuka gear liver yake ilivyokuwa positioned,umenikumbusha mbali sana