Waumini wenu sio waadilifu! - Pinda

Pinda kumbe unajijua kama na wewe mwizi na wezi wengine unawajua, umewachukulia hatua gani, jamani Pinda anachosha na ngonjera zake.

Mkuu! Huyu Pinda aache kudanganya watanzania kuwa yeye ni mtoto wa mkulima! Wapi!! hiyo anaitumia kama kificho na watanzania wamuone kuwa yuko upande wao, ila ukweli ni kwamba yuko upande ya Mh. JK hata kama kuna lolote lazima awe upande wa serikali na serikali imeshatuchosha!

Tuwe makini sana na kauri za wanasiasa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom