Tid mtt
Member
- Mar 3, 2019
- 11
- 6
Ni rafiki yangu wa damu kabisa alikutana na tuseme mama mana ndio rika lake japo ni mdogo kwa huyu bi mkubwa akaishi nae sasa inaenda mwaka rafiki yangu ananipa story huyu mama alipokutana nae alimwambia ana watoto wawili pekee jamaa kaamua kutulia nae siku zikaenda jamaa anashangaa kwan shamba halitoi mazao kumbe bi mkubwa akipata ball anatoa
Sasa mtoto wake mkubwa akafika nyumbani kuona mamake kaolewa na mwanamume mwingine akaamua kutoboa siri kwamba mama yake ana watoto saba na kila mtoto ana baba yake sasa yeye ni wa nane
Kinachoendelea ni mapigano jamaa anataka mke amweleze ukweli na mtoto aliyekuja ameondoka mana aliachana na mume wake wa ndoa akarudi kwa mama sasa kapata mume mwingine kaondoka
NIMSHAURI NN HUYU RAFIKI YANGU
Sent using Jamii Forums mobile app